Recent content by WINCH

  1. WINCH

    Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    Kila la kheri Mkuu:D😂😂
  2. WINCH

    Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    Mkuu nina imani uko Bandarini leo kuangalia meli inavyotia nanga
  3. WINCH

    Short course ya GIS and Remote Sensing

    Nilishawahi kuisoma pale UDSM haikuwa nzuri sana jaribu Ardhi University wanajitahidi.
  4. WINCH

    Tuambizane ndugu zangu uliishije na mwanamke mbishi na mjuaji?

    Hii dawa nami huwa nafanya hivyo hivyo, kimya cha muhimu watoto wanatapata mahitaji yao.
  5. WINCH

    Ushauri: Nichukue gari ipi kati ya hizi?

    Nafikiria kuichukua hii gari naomba kama una uzoefu nayo unipe ABC zake. Nitashukuru.
  6. WINCH

    Mkopo wa elimu ya juu unaongeza umasikini kwa wasomi

    Tatizo sio ada ni ghrama za kujikimu (chakula, mavazi, malazi, usafiri n.k), fikria mtu kachaguliwa Dar na anatokea katavi au kigoma huko Dar anaishije? Sawa ada atalipa hivyo vingine ambavyo ndo gharama zaidi.
  7. WINCH

    Nimeajiriwa Serikalini tangu 2015 hadi sasa sijawahi tumia elimu niliyopata nilipokuwa chuoni

    Kuna Lecturer mmoja alosema mtu mwenye degree unawexa kuwa trained kufanya kazi ambayo sio lazima uwe umeisomea. Ukiona huitumii elimu yako acha kazi ufanye mambo uliyosomea
  8. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Unahitaji au unapiga kabobo?
  9. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Aliye serious atanifuata PM mkuu sijakulazimisha. Mtu hawezi kuja ovyo nikamjibu kistaraabu
  10. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Safi mkuu, hapana nilipata sehem nyingine
  11. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Sawa Mkuu watakuja wenye uwezo
  12. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Ni hela ila haifai kwa hii gari, tafuta utapata mkuu
  13. WINCH

    Godbless Lema: CHADEMA imepata baraka kuondokewa na Lowassa

    Mzee wa watu amesafishwa ma waliomchafua kuanzia 2007 hadi 2015, na waliomtukana kuanzia 2015 tena wanafuta kauli zao ngoja akapumzike
  14. WINCH

    Car4Sale Gari inauzwa au kubadilishwa na gari nyingine

    Habarini wanaJF, Gari aina ya Toyota Allion (T5*0DF*) inauzwa au exchange inaruhusiwa. Ukubwa wa Injini: 1750cc Sehemu: Dodoma Mjini Bei: Mil. 10.5 Karibu PM ambaye uko tayari
Back
Top Bottom