Recent content by WINARD

  1. WINARD

    Uteuzi wa Dk Asha Rose-Migiro, Kenani Kihongosi ni wa Kimkakati huenda wakatenguliwa baada ya malengo kutimia

    Ngoja tuone. Ila Kwa akili ndogo tu inaoneshe kwamba uteuzi huo ni WA kutapatapa tu Kwa mfa maji. Wanatafuta mtu WA kumangushia zigo lililo washinda wengi.
  2. WINARD

    Mjadala huru: uliza swali lolote kuhusu msitari wa Biblia unaokutatiza na wajuvi na wabobevu wa Biblia watakujibu

    Huu sio uchokozi, wala sio dharau kwa Mungu, hiii ni sehemu ya mafundisho .. siku hizi watu hawataki kujifunza wala kutafakari kuhusu Mungu. Acha mada iendelee.
  3. WINARD

    Mjadala huru: uliza swali lolote kuhusu msitari wa Biblia unaokutatiza na wajuvi na wabobevu wa Biblia watakujibu

    Shalom watu wa Mungu, nauliza swali kuhusu wanefili. Chanzo chao ni kipi?
  4. WINARD

    PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Acha ukabila hii ni chadema sio chama cha wachaga.
  5. WINARD

    Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Jiji halina wakazi wengi eala msongamano, sasa mwendokasi wa nini?
  6. WINARD

    Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Jiji la tanga lina inadi ndogo sana ya wakazi. Hata msongamano wa magari hakuna. Siku za jpili na jmosi magari machache, sasa mwendo kasi wa nini?
  7. WINARD

    Jamii ya Waethiopia ambapo msichana hupokea kichapo cha mbwa ili kufundwa

    hii Sasa kali. Africa kweli bado kiza kinene.
  8. WINARD

    Msaada jamani namna ya kuseti frequency kwenye dish

    Ninatumia decoder ya mpg4, ninapata za star lakini sipati zote.
  9. WINARD

    Msaada jamani namna ya kuseti frequency kwenye dish

    Jamani naomba kama yupo anaejua freq za star documentary aniambie jamani
  10. WINARD

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Ila huyu ------ anaajenda ya siri na hawa jamie.
  11. WINARD

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Mzee kapinga unasema pisa tunaiba tunapeleka kanisani, mbona nanyi amuibi kwa masrai ya done? Ndio kujifanya mna imani sanaaa. Ila pass za kudhamini mabomo na milipuko mnachanga, changeni na pesa za mahakama yenu ya kuwazibiti wanawake tu.
  12. WINARD

    Ultimatum: Serikali ina siku 14 kutangaza mahakama ya Kadhi! - Wahadhiri

    Base watambue hii nchi haina bajeti ya dini. Rabda waanzishe mradi wa kusambaza tende toka uarubuni .
  13. WINARD

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Boresheni huduma ya mpesa, mara kwa mara mtandao bize, kama haiwezekani, punguzeni wateja.
  14. WINARD

    Nataka kuzamia nje ya nchi, nishaurini wakuu niende nchi ipi?

    Nenda dubai, hike huwezikosa hate kazi ya upishi. Siunajua mahoteli mango?
Back
Top Bottom