Kwa nini shule zetu za kata zinakufa? Na nini kifanyike tuzi-inue shule zetu za kata?
Kwa hali ya sasa, shule zetu za kata zipo kwa ajili ya kundi maskini au kundi la wasiojiweza.
Sidhani kama hii ndiyo ilikuwa nia ya kuanzisha shule hizi. Naamini kabisa shule hizi zilianzishwa kwa malengo ya...
BAKITA ikubali kutohoa maneno ya kigheni, haswa kwa maneno yaliyo common mfano computer iitwe TU kompyuta sio mpaka ipatiwe msamiati wake. happy unakuwa unachanganya watu.
Kwa sababu tumeshindwa kusikilizana ndio maana hatuendelei.
Kwa muda mrefu, tumekuwa tukishindwa kutatua mizizi ya matatizo yetu. Tumeshindwa kutatua vyanzo vya matatizo yetu.
Taifa kiujumla na serikali zetu kwa awamu mbali mbali, kwa ujumla tumeshindwa tafuta suluhu ya matatizo yetu ya siku...
Mzee qualification sio tija. Elimu ni changamoto, Chukua Diploma mhitimu wa Tanzania na labda Marekani, wote wawe wa fani au taaluma Moja.
Halafu angalia madini Yao ya kichwani, utaona utofauti mkubwa sana
Bado Kuna reforms inabidi kufanyika haswa kwenye teuzi au chaguzi za watu wa kupewa nyadhifa Serikalini.
Teuzi zetu nchini zina-mapungufu sana na mengi.
Ukifuatilia vigezo vya teuzi hizo Huwa zina kasoro.
Unakuta kiongozi kachaguliwa na kapewa nyadhifa serikalini Kwa sababu tu,
1: Mwanachama...
Habari zenu.
Swala la elimu nchini Tanzania, ni swala ambalo wanasiasa wengi nchini iwe chama tawala na hata vyama pinzani kiujumla Kwa pamoja wameshindwa kuona kama ni miongoni mwa kikwazo Cha maendeleo nchini.
Serikali imekuwa ikipanga malengo na maono makubwa, ambayo ni tofauti na aina ya...
itategemea na fundi wa kwanza aliwetengeneza vipi, maana hizi kazi kila mmoja nautendaji wake. Mwingine akipiga msumari atazamii labda huenda Kuna changes zinaweza fanyika au laah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.