Recent content by WILSONDIOXIDE

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

    Kinana ni jembeeeee, La mkono sio?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tweets za January Makamba na Zitto kuhusu Hotuba ya Warioba

    anajipendekeza ili asamehewe adhabu aliyopewa na viongozi wake wa chama kuhusu kuanza kampeni mapema.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Jimbo la arumeru magharibi kama vile hawana mbunge.

    Ukiachilia mbali elimu,tangu masuala mengine ya maendeleo pia yame kwama,mfano ni barabara ya miamzini kuelekea ekenywa sasa hivi imegeuka mkondo wa maji makorongo kila mahali,sakina hivyo hivyo.kweli tulilamba garasha.
  4. W

    JamiiForums Tanzania CCM ndiyo chama pekee cha siasa ambacho hakina ofisi halali hadi leo.

    Jibu hoja,acha kupotezea,na tukichukua nchi zote pamoja na viwanjwa vya mpira vitarudi serikalini.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Chadema yazidi kung'ara uchaguzi madiwani

    kipimo cha kweli kitakuja baada ya katiba mpya.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    cha msingi ni kwamba Chadema tusishiriki uchaguzi mwingine wowote mpaka angalau mambo mawili yamefanyika,kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura,kama katiba mpiya haitapatikana kabla ya 2015, basi tufanyie marekebisho kipengele cha cheria ya uchaguzi,tupate tume huru. vinginevyo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ni wakati umefika sasa kwa NCCR Mageuzi kurudisha heshima ya upinzani, CHADEMA wanatia aibu!

    tuna eliminate mbinu moja baada ya nyingine,mpaka tuhakikishe mnatumia sera safi kushinda sio kujipendelea kila mara
  8. W

    JamiiForums Tanzania Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    huu utafiti hata haueleweki.ulitumia vigezo gani? kwa kuwa kuna tofauti kati ya 1.mwenye ushawishi mkubwa 2.mwenye utajiri mkubwa 3.na mwenye kutajwa sana na vyombo yva habari...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa Lowassa kwa CCM ni kwamba: Hakuwahi isaliti CCM popote..

    Okey,ikiwa mtu mmoja tu ambaye ni zito alihongwa zaid bilion 4 kukisambaratisha chadema kuna ubaya gani kwa cdm wakitumia bilion moja tu kurudisha hadhi ya chama? Sehemu uliogemea si salama kijana. Amka ufufuke katika wafu kimamaendeleo kwa kuwa saa ya ukombozi ni sasa. Hebu na ccm tumie...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni inayoendeshwa na Nipashe, Lowasa awaacha wenzange mbali sana.

    katika viongozi waliosalia Tanzania babu Slaa yumo? Dr Slaa ni mchumia tumbo kama viongozi wengine, kama kweli anakipenda chama mfu Chadema mwambieni asichukue mshahara kama wa wabunge. pia kumbukeni kama ameweza kuasi upadri sembuse nchi? huyu babu Slaa ni janga la Taifa. Hebu we acha...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ombi maalum kwa viongozi wa chadema,,,,!!!!

    Hivi Afande atagombea jimbo gani marogoro? maana magamba hawatakuwa na lao 2015.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Kikwete Akabidhi Wasanii Mashuhuri tuu Kadi za kujiunga na CCM

    Nakaya, ally kiba, wako wapi leo hii?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  14. W

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
Back
Top Bottom