Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

cha msingi ni kwamba Chadema tusishiriki uchaguzi mwingine wowote mpaka angalau mambo mawili yamefanyika,kuboreshwa kwa daftari la wapiga kura,kama katiba mpiya haitapatikana kabla ya 2015, basi tufanyie marekebisho kipengele cha cheria ya uchaguzi,tupate tume huru. vinginevyo hatutamkamata mchawi kabisa.

biblia inasema,"ROHO WAOVU WANA NGUVU PIA.hawashindwi kirahisi.
 
Back
Top Bottom