dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
- Thread starter
- #21
Mkuu,Nicholas,inaonekana unamjua vzr sana huyu! Mama kiukweli kuna miKOA CCM wameifanya km maZEZETA! ila naamini miaka michache ijayo hali itakuwa tofauti na hawataamini kitakachotokea! cc wengine hatuhitaji hata card wala hela ya hao cdm 2ta2mia vipesa vyetu 2livyonavyo kuleta mabadiliko ya kweli! nawao cdm wakivurunda 2tawamwaga hapendwi m2! bt kwa sasa cc tuliotimamu hatuezi walaumu cdm 7bu bado hatujawapa NCH manake pamoja na uBUNGE lkn bado maamuzi makubwa niyaserikali inayoongozwa nahao jamaa wakiJAN