Kabla gesi hii ijashindwa iundwe kauli mbiu na sheria za kuzilinda rasilimali zetu..pia mikataba wanaoingua viongozi wa CCM waiweke bayana na mpaka tulizie ndio ipitishwe ili tuweze nufaika na gesi yetu..pia serikali iakishe asilimia isiyo pungua 45 Ibaki nchini kwa ajili ya umeme na matumizi...
Huyu mama alikosa ya kuongea na alikuwa ame miss mumewe mbona hasemi CCM wanatumiwa na serikali za kigheni katika kuhujumu rasilimali zetu na kuingia mikataba isio na mkia wala miguu..akajipange upya
Hawa jamaa huwa wanataka haki sawa sasa haki sawa ni kama hizo au wanataka zipi??tena kama ndio huyo mwanamke msomi na anaijua na ameisoma haki sawa basi awe mpole tu ai-practise tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.