Recent content by Wilondja dingo

  1. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake waimba kwaya huwa wanagongeka ?

    Wanagongeka Sana tu.hawajui biblia wao wanasubiri tu mwalimu atunge wimbo awaletee waimbe basi.binafsi hiyo kazi niliwai kuifanya 204-2012
  2. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

    Rwanda na burundi wanategemea umeme kutoka DR CONGO kwenye bwawa la INGA
  3. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania P.Kagame na Rwanda mimi sidanganyiki, sijui wengine!

    Rwanda na burundi zinategemea umeme kutoka DR CONGO kwenye bwawa la umeme Maarufu BARRAGE D'INGA.
  4. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Unapindua maandiko bwana wee
  5. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Akuna sababu yoyote ya msingi inayoweza kuzuia mtu kuowa mwanamke zaidi ya mmoja, wapo kwenye biblia watu waliowa wanawake zaidi ya 1 na mungu aliendelea kufanya nao kazi. Vitu viwili vinavyo tuchanya sisi wakristo. Biblia na doctrine ya kanisa
  6. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Unashindwa kuelewa kuwa Ni makosa ya kiuandishi katika Hali ya kuwa na msngo wa mawazo.
  7. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Hii sio stori ya kubuni ,kwani ingekuwa ya kubuni ingeandaliwa vizuri na ingewekwa maneno mengi ambayo yangekufanya wewe msomaji uweze kuvutiwa zaidi. Kwahiyo wewe to USHAURI Kama ulivyoelewa tu .ikiwa haujavutiwa pita pembeni.
  8. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Hakika Niko serious. Huu USHAURI nimeukubali ila kwa Sasa nacheki usalama wa mtoto
  9. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Ni makosa ya uandishi tu maana nilikuwa na mawazo mengi mno
  10. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Mke wangu Ana ujauzito anatarajia kujifungua mwezi wa 11. Unataka nikuwekee ushaidi wa chati zetu?
  11. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Ni ya kiuandishi kwani nilikuwa na mawazo mengi Sana
  12. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Nimeandika hii story nikiwa na mawazo mengi Sana .nimaanisha 2019
  13. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Nimeandika hii story nikiwa na mawazo mengi samaana Sana nilimaanisha 2019
  14. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Moyo unauma sana

    Wadau habari za saa hizi. Acha niende moja kwa moja kwenye mada Mwezi wa 12/2018 nilisafiri kwenda Dar nikamaliza wiki 2 nikiwa huko .nilivyo Rudi tu huku kwetu nikakuta kwa jirani yetu kuna binti mrembo Sana ambaye alikuwa Ni mgeni pale, Kama tulivyo mabaharia ikabidi nijisogeze kwa binti...
  15. Wilondja dingo

    JamiiForums Tanzania Baba mkwe, mahari hii imenishinda

    Bora huko kwenu mahari 5M ,sisi wabembe huku USA mahari imefikia USD $ 15,000 .
Back
Top Bottom