Recent content by Willykipara

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Wanawake wanatakiwa wasisitizwe kuwa tuko tofauti na reactions ziko tofauti miongoni mwetu.Wajue hilo kuwa ukimfanyia mwanaume ushenzi,usitarajie awe mwema kwako na kama ikitokea akawa mwema ni bahati. Kuna ujingauninga mwingi sana kwenye hizi ndoa ni basi tu mambo hayawekwi wazi.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Changamoto ni kwamba namna ya kuhendo maudhi ndo shida ilipo,hiyo hata Baba Levo amewahisema kuwa wanawake wawe makini sana,hii yakuudhi watu halafu unajua utaonewa huruma,mtu atapotezea tu,siyo wote, mwingine atakusamehe tu uende, mwingine atakuadhibu kwa namna yake.Mfano sasa kama ikitokea na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

    Uwezekano ni mkubwa wa Mbowe kulala nje ya gereza,nakurejea asubuhi au muda wakuhitajika kuonekana yuko gerezani. Kuhusu kukoswakoswa ni ngumu sana,yeye alionekana siyo target.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Moja ya vitu vinavyoleta mauaji ni kutokuwepo uaminifu miongoni mwa wanandoa,hii inapekekea mmoja anachanganya familia,yaani unakuta watoto wote wanne siyo wako na mume anaamini ni wake siku zote na jamii inaamini hivyo. Siku ikija kujulikana,na mbaya zaidi mume akaunganisha matukio mbalimbali...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Nimesoma maneno yake,hataki eti usemwe amefanya ukakosa kadogo ili isemwe amefungwa miaka 6 au 8,anataka kama ni kukutwa na hatia akutwe nayo ile ya kunyongwa hadi kufa na kama hana hatia aachiwe huru. Ila hizi mahakama ziangaliwe jamani,mhaini mmoja kesi yake ni mwaka na nusu,je wangekuwa 50 si...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Kuhusu Bank Statements za Heche, mnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama

    Kiufupi kama Heche ana jinai afunguliwe,na hawa wa mabilioni ya pesa waseme wanapataje hizo hela,daah aisee.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hata kama mnawapenda sana polisi nakemea kitendo cha wananchi kumshambulia mtu aliyekuwa akimpiga traffic police, wangemfikisha kituoni

    Changamoto inaanzia baada ya kumpelekea moto,inatakiwa uchukuliwe na wenzao wakupeleke sehemu inayoitwa kituoni,ya huko hayajulikani.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Hilo linaonekana ni tatizo la askari wengi, bilashaka uliwahisikia kua hata JW askari akiwa mmoja anakujaga mpole akiwa anasunbuliwa na raia asiye askari,ila sasa akienda kambini akirudi na wenzake,ndo wanakuja wanamdhibiti aliyemzingua mwenzako. Huyo aliyemfanyia hivyo huyo trafiki nadhani...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Kuliko kuwaua si tungefuta hilo jeshi tuishi bila askari,au unaonaje ndugu yangu?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Kwani huwa hawalipwi mishahara na posho?
  11. W

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Asikate tamaa,yeye aendelee hadi 45 ikibidi,ila majukumu mengine aendelee nayo,akitoboa ndo aache rasmi.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Hiyo kwa mtu ambaye ameshaaplodi nyaraka zake,na ana elimu ya shahada,inasemekana hawezi kupata,ni vyema kwa wenye nia yakuingia serikalini,waambiwe kabisa kabla hawajafungua akaunti ya ajira portal,wasiaplodi vyeti vyao vya shahada ili wapate ajira halafu watakuja kupambana baadae kuonyesha...
  13. W

    JamiiForums Tanzania KERO Mchezaji wa Simba anatumia jina langu, ananiambia nikashtaki popote

    Wewe mleta post una kesi ya kujibu.Halafu kitendo cha kutofautiana mwaka wa kuzaliwa inaonyesha ni watu wawili tofauti na hicho cheti chako ni vile vya zamani,havisomi hata kwenye mfumo wa RITA,yawezekana yeye alishaomba cheti kingine akaomba na NIDA,hiovyo wewe itakua ngumu kudhibitisha kuwa ni...
Back
Top Bottom