Recent content by Willy

  1. Willy

    Mnaosumbuliwa na UTI pita hapa

    Bwana Eisteen hayo uliyaandika halo juu naweza kuuita uongo uliopitiliza. Hi fan I ya uganga wa mwili wa binadamu waachie waliosomea fani hiyo. UTI kirefu chake ni Urinary track infection. Inaletwa na bacteria waitwao E. coli au Klebsilla spps na wengine wachache. Shida iliyopo ni kuwa UTI ni...
  2. Willy

    Tanzania hatuhitaji chanjo- tuko "stage" ambayo wengine wakitumia chanjo wanaitafuta

    Sababu zako hazina mashiko. Tusipoangalia ile hali ya India itakuja kwetu. Kinga ni muhimu sana ikiwepo vaccine leo wale siyo kesho
  3. Willy

    Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Sisi wazee wa Tanzania tunamwomba Rais SSH atuletee vaccine ya COVID19. Tunahiitaji sana. Magonjwa yaletwayo na virusi hayana tiba. Dawa za kinga ndiyo suluhisho. Tafadhali sana Rais wetu najua unafuatilia, sikia ombi letu
  4. Willy

    Lema: Narudi Tanzania

    Huna chembe ya uzalendo Lema. Baki hukohuko. Umeshaosha masufuria mangapi. Baki huko huko. Kama ukirudi nakushauri ukalime kule Nronga Machame
  5. Willy

    Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Hata Mimi nimelisikia hapa Salasala
  6. Willy

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Hizo test zinaitwa Serology test ambazo zonapima antibodies. Zinakuws positive baada ya wiki 2-3 baada ya kuonyesha dalili. Pia ubora wake bado haujadhitishwa. WHO hawajaziruhusu kutambau wagonjwa wapya.
  7. Willy

    Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    We would be contacting symptomatic individuals and quickly isolating them. We would be tracing their contacts and testing them too. We would be using phone apps and online registries to support the tracing, testing, and isolation processes. We would be screening the public for symptoms in bus...
  8. Willy

    Kwa hili la Segerea, CHADEMA ikiri imekosea

    Chadema wanatafuta cheap popularity and this will cost them dearly
  9. Willy

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Ukipanda korosho utavuna korosho. [emoji23][emoji23][emoji23]. Usitukane ukunga uzazi ungalimo.
  10. Willy

    Refinery set to turn Tanzania city into major gold hub

    Asante sana JPM. A revolution master. 2020 ni Yako tuu. Wao walie tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1362]
  11. Willy

    Ni kwanini IGP Sirro hataki kujiuzulu pamoja na kushindwa kazi?

    Ajiuzulu kwa uzembe wa watu waliotaka kuiba. Let’s call a spade a spade. Mtoto wako mwenye miaka 20 anaiba halafu baba anashtakiwa??? Let’s be serious na tuache siasa
  12. Willy

    Tatizo sio Uwingi wa Majukumu na Jina la “TFDA”: Urasimu, Tozo na Rushwa ni Hujuma kwa Uchumi

    Mwandishi ana ajenda mbaya sana. Mfumo unaotumiwa na TMDA ni wa kimataifa ( soma kwenye website IMDRF/ GHTF). Msingi huu unatumika na WHO Prequalification Program. Kwa taarifa mfumo huu umeifanya WHO kuitambua TFDA kuwa ya kwanza Africa kufika level 3 maturity kwenye medicine na kwenye...
  13. Willy

    China snubs Magufuli’s Tanzania in Sino-African expo

    Ngurumo Jana uliosha masufuria mangapi. Pole sana kwa maumivu
Back
Top Bottom