Recent content by willy ze great

  1. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Nissan murano qr25de cc 2500 fuel consumption problem

    Jamani nina nissan murano qr25de cc2500 2006 inakula sana wese iliwasha check engine shida ikawa airflow meter nikabadili ila tatizo bado liko palepale. Ukiwasha gari ina nguvu vizuri tu haina miss yoyote inachanganya haraka shida ni wese tu ninapata 2.5 km/l mpaka 3.9km/l
  2. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yanga 0:1 handcap win Al ahly win weka nyumba
  3. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakamaria nataka niweke 1m nigeria win
  4. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Vp kinatumia technology gan kufungua channel zinazouzwa? Anadai hakitumii internet bali king'amuzi kinatumia dishi kama la azam au continental
  5. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mtu anadai kuonesha epl na ligi zote kubwa kwa bei ndogo facebook

    Kama picha zinavoonesha hapo anadai kuonesha ligi zote kubwa ulaya kwa bei nafuu tu matangazo yako facebook. Naomba ufafanunuzi kama hii kitu inawezekana anadai king'amuzi kinaitwa premium hd. Kama kuna mtu anafaham hii habari atutoe tongotongo
  6. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

    Weka ushahidi twende mahakamini ila tutagawana 50%
  7. willy ze great

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

    Vedastus manyinyi mathayo - Musoma mjini
  8. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Mimi toka nimemaliza 2021 nabadilisha tu makampuni ya private
  9. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Maelezo hayatoshi. 1. Je starter motor inapata moto? 2. Je starter motor inazunguka 3. Kama inazunguka inaweza kuzungusha engine. 4.kama inazungusha engine ila engine haiwaki cheki ignition coil mojamoja kama inazalisha spark 5. Kama zote zinatoa spark angalia nozel na injector pump
  10. willy ze great

    JamiiForums Tanzania kibaruani kwangu nimeongezewa majukumu lakini mshahara uko pale pale hii imekaaje?

    Mimi hua naacha kazi nayafuta nyingine
  11. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Natafuta compressor used

    Natafuta compressor used ya kutumia engine ya diesel zile za migodi midogo.
  12. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Wakuu nimelia sana baada ya hii kauli ya majaliwa
  13. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Howo N7 truck ni gari zuri sana

    Bieben ni noma
Back
Top Bottom