Recent content by willian2001

  1. W

    Namna ya kutafuta scholarship ya masters

    Unaweza kuomba kwenye vyuo vya nje pia.. kuna scholarship kibao zina support watanzania wanaotaka kusoma masters.. kama Irish AiD- Now Open, Commonwealth scholarship-Open, Swedish Institute scholarship nayo inafunguliwa soon
  2. W

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Hakuna vigezo vikubwa.. basically unajisajili na lazima uwe na passport ID Na fee ya kuufanya ni Tshs. 590,000
  3. W

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Hio IELTS ni kuisomea na kujipanga vya kutosha. Huo mtihani wanasema hata native speakers wasipousomea ni rahisi kufeli.. ni kuusomea tu! Na huu mtihani wa IELTS ni kigezo kikubwa muhimu kwa prospective applicants wa scholarships mbalimbali!
  4. W

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Asee kuna scholarship ya Irish AID.. mmeomba!?
  5. W

    TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Sisemi kwamba ndo ilivokua kwake maake hatujui.. lakini Drinking and swimming is very likely to cause drowning even for an experienced swimmer.. I hope it wasn’t the case here.. RIP Pancho! Gone too soon..
  6. W

    Hivi Tanzania raia wanaruhusiwa kubeba Taser?

    Ni kama kifaa anachotumia mtu kama silaha ya kujilinda.. inatumia umeme kumjeruhi adui
  7. W

    Hivi Tanzania raia wanaruhusiwa kubeba Taser?

    Habari, Ningependa kujua kama bongo mtu anaruhusiwa kubeba Taser ya personal protection. Na je, mtu anahitaji kibali cha kuwa nayo?[emoji848]
  8. W

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari wadau! Aisee mi ni mpangaji naishi kwenye nyumba na wapangaji wengine. Kuna conflict zinatokea kila ikifika wakati wa kuchanga kulipia umeme. Sasa nataka nifunge luku ya chumba changu Kwahio nilikua naomba kama kuna mdau anafahamu gharama za kufunga luku kwenye chumba chako.
Back
Top Bottom