Recent content by William Mshery

  1. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Bunge dhaifuuuuu saaana,Je Ni kweli wanawake wanaweza???Tumpime speaker wa bungeeeee.....!!!
  2. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Hali ikiendelea hivi, nahisi watu wataanza kuuza vyeti vyao

    Hakika tunazalishaa wanafunzi wasio-kuwa na manufaa kwenyee jamiii,Ni tatizo la mfumooo
  3. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni - Julai 04, 2015: Spika aamrisha wabunge wa Upinzani kutolewa Bungeni

    Wanachezeaaaa kodiiii zetuuuu,Hakika we need change,Masuala ya kusemaa ndiooo au hapana hatuyatakiiiiiii tenaaaaaaaaaa
  4. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Mhe. Lissu, 2015 imefika

    Lissu akiliiii mingiiiiiiiiiiiii
  5. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Hivi mmiliki wa mabasi ya RATCO ni nan ndani ya CCM..?

    Mmiliki wake anaitwa KIFARANGA,ni tajiri tanga pia agent na supplier wa sukari mkoani tanga,Pia in mhasibu wa ccm mkoa wa Tanga.
  6. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mh Sugu juu ya alichokisema Mbunge Mlata jana bungeni

    Nachukia saaana wabunge wa viti maalumu sioni umaalumu wao,ni mbunge gani wa viti maalumu unayemtambua ni mjenga hoja mzuri na kuitetea??achana na wa kuteuliwa mafundi Kama Mbatia...!!!'
  7. William Mshery

    JamiiForums Tanzania DC Makonda kanitoa machozi

    I hate politics za ccm but Leo makonda amejibu vizuri saaaana maswali Kama kweli majibu Yale yanatoka ndani ya rohoo yake
  8. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    Sio uzushiii ni habari y kwelii nimeona defender 3 pale sido na wanapiga mabovuu
  9. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Kikwete kavunja misingi ya uchumi aliyoweka Mkapa

    Tunaitaji viongozi wanojenga hoja na kuja na takwimu stahiki kuwaeleza watanzania wajue mbivu na mbichi
  10. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Naaingaliaa hapa ITV Mh Pinda anajibu maswali lakini majibu yake hayajanirizishA hata kidogo,siyo majibu ya kisomiii hata kidogo ni Kama ngonjera na mafumbooo tuuuu.....!!!
  11. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Dongo la Wassira kwa Makongoro ni aibu kwa Kiongozi mwandamizi kuwaza mawazo tegemezi

    Viongozii wale wale na mawazo Yale Yale........
  12. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Rammy Galis na mpenzi wake Hellen Huthut

    Mada za kijingaaaaaaaaaaa
  13. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Shaaban Rajabu Gurumo wa Ikulu amechukua Shs 800M za Escrow StanBic Bank!

    Daaaaa tanzaniaaa yanguuuuuuu
  14. William Mshery

    JamiiForums Tanzania Lowasa taabani kwenye Media. TBC1 na Star TV wakataa kurusha habari yake

    Kumbe tbc1 nayo in source of information in Tanzania ???
Back
Top Bottom