Sometimes najiuliza, hivi mtu akitoa kauli za jinsi hii, anakuwa katika hali gani? nafikiri ndugu huyu alikuwa na furaha kupita kiasi au alizidiwa na emotions kama za furaha na anajikuta hajui anasema nini.
ndio maana ndugu zetu wakenya walitamani aanzie kwao, nafikiri kwa tamaa au emotional...