take a look at this | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

take a look at this

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mayu, Sep 23, 2010.

 1. M

  Mayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  our presdaa.jpg

  Habari ndio hiyo
   
 2. L

  Lady JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahah! lol! habari ndo hiyo!
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wenye kutokujua kusoma hata picha hamuoni?????????????
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  uuuwiii,mbavu zangu mie
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  he he he he!yani hakuna alichofanya zaidi ya kuuza sura!
   
 6. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni upuuzi wa hali ya juu. Hiyo amani wanayoisheherekea Kenya leo na hata kufikia kupiga kura za maoni kwa amani huko ni kwa juhudi za Jakaya Kikwete.

  Watanzania mlishazoea kucheka kwa mambo ya uongo. Siyo kosa lenu. Mlijengwa muwe na hali hii tokea enzi za Chakubanga na Polo.
   
 7. w

  wille Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hata kabla tunapenda kujenga kwa wenzetu, kwetu tunasahau. huku tukijisifia kuwa tunadumisha amani na kukomboa afrika.

  Sikushangai ndugu, kibonzo ni poa kinadepict hali halisi ya mtanzania:
  1. Kama ni katika mambo ya Uchaguzi- Hana elimu ya uraia
  2.Kama ni Kushughulikia matatizo- Mpaka yatokee ndipo ashituke, baada ya kupita kamuda ANASAHAU
  3.kama ni Michezo- kichwa cha mwendawazimu, mabondia mpaka wafe na njaa ndipo tushituke, hata tukichanga Sh. 1 tungepata milion 40....
  4. Kama ni Sherehe- kila harusi mamilioni
  5. etc

  Mwenye macho haambiwi tazama ....
   
 8. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,720
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  hujakosea mkuu...

  tulijengwa hivyo na CCM chini ya mwalimu............
   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wakenya hawampendi JK kama nini. hii ni mara ya pili kumtoa kwenye vikatuni kwa matusi na kejeli za aina hiyo..east africa community juuuuuuuu, juuuuu, juuu kabisa.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Old fashioned you! amani ya kenya ni kwa sababu ya Kikwete, amani ya zimbabwe na S.africa ni kwa sababu ya nyerere........then what?!! what do we have?
   
 11. s

  samo Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwenye sura mbaya kwa kawaida roho nayo mbaya, majirani zetu ndivyo walivyo tuwazoee tu na tusidanganyike amani yetu tuilinde na ikibidi tuitukuze. ndugu zanguni tuwe makini sana na wanasiasa tusishabikie tu bali tuangalie watatufanyia nini? maana makundi nahisi kama yananza!! haswa ya kimakabilakabila
   
Loading...