Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 140
- Thread starter
- #81
Lukolo nlipotea kidogo.kama sikun zote wewe ndo unaumizwa pole sana.ila pamoja na kuumizwa yawezekana nawe ukawa unawaumiza zaidi ila hujui tu
Jamaa alivyo mega tu akammwaga alivyo ona kaachwa akawa ananinyemelea mm tena mm nilimfungia vioo
Ufupi uleule aliousema FL kuwa ni wazuri, wanajua mapenzi, they are caring, and sharing(?)...wanajua kuhonga...ufupi huo
wewe endelea kujidanganya tuJamani ngoja nifafanue kidogo unajua wanaume wengi weupe wa kibongo (sio wazungu)ni mahandsam so wadada weng wanawapapatikia sio nia yao kuumiza siwatetei ila wadada wanajigonga kwao kwa sana wala hawana kaz kubwa ya kutongoza. Wanajichagulia 2 leo awe na yupi kesho na yupi kwa kifupi wanaume hawa (wenye pesa hata awe na sura ka makalio ya sufuria inayopikiwa na kuni na mahandisam weupe kwa weusi hata awe hana kash wanaumiza mioyo ya kina dada kwani wadada wengi wanawakimbilia sana) kwa hiyo lazima wadada muumizwe we jichukulie mchoma mishkaki wako ila asiwe handisam awe mbaya ka kanyagio utaona kama utaumizwa utakua peke yako
remove me from that listHii si kwa wanaume tu ila the same applied to womens maana hata wanaume wengi(majority) wanapenda wanawake weupe na wanawake weupe just because wakishalitambua hilo kuwa wako marketable wanakuwa wasumbufu na wanacheat balaaa.
nimefanya uchunguzi kupitia kinadada wengi nikapata majibufirstlady ulijuaje kama hawapendi kula pipi na ganda?au ulishajirusha nao?mana hizo siri za ndani dia.
Jamaa alivyo mega tu akammwaga alivyo ona kaachwa akawa ananinyemelea mm tena mm nilimfungia vioo
nimefanya uchunguzi kupitia kinadada wengi nikapata majibu
Dena ulilisoma swali la Mwera?Mie mmoja wao.
Gaijin ukidate mwanaume mweupe tegemea kusaidiwa majukum ati
That is RACE CALLING, you have been WARNED!
Dena ulilisoma swali la Mwera?
bacha mie hao weupe siwataki hata kidogo.yaani hata kama duniani wangebaki wenyewe basi ningeamua kuwa mtawa ati..!
hahahaha kweli wanaweza kua "CRAP" kwa mtazamo wa FLHivi Kimey CRAP maana yake nini? Isije kuwa leo FL kaamua kusema wanaume weupe ni CRAP