Recent content by Willard Jonnes

  1. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa vifurushi vya intaneti ni mtandao wa Instagram

    We ni Pisi kali, Unatumiaje 1.2 GB Instagram? Mimi hata acc sina, Usiniambie unafanya matangazo ya biashara zako huko kijiwe cha wadada
  2. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua: Gharama za convoy ikipiga kambi Chato nani analipa?

    Nyalandu ametesa kinoma, Time ya mkwere we ukiona mpaka Faraja nyalandu analia lia na kuwa activist jua wameshikwa pabaya
  3. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Wanaofanyakazi ya kupamba kumbi za starehe, kusherehesha (Ma-MC), wapishi wa sherehe na wapiga picha, watatakiwa kulipa ada na ushuru

    Sengerema hapo imetumika tu kama ignitor ila hio inshu inaonekana iko tayari drafted itumike Nation wide, Hapo imeanzishwa kupima upepo na kwa vile umesikia ina baraka ya Tamisemi tegemea kutekelezwa Nchi nzima
  4. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

    Mambo ya waingereza yanapofatiliwa closely na Mmatumbi
  5. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakifa huzikwa ardhini?

    Kutunza mzoga wa mtu alikufa ni changamoto sana pengine ni ghali zaidi kutunza ivo njia sahihi ni kufukia ardhini ili kuepusha harufu na gharama
  6. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Emmanuella ampa mama yake zawadi ya jumba la kifahari

    Mjuba ndo Kwanza niko na 30 yrs old ndo kwanza nalala Sebuleni, Everyone has its own pace
  7. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Christopha Njako, Tajiri wa mahindi akamatwa kwa utakatishaji fedha

    Ndio mkuu pengine alikuwa anapenyeza Cash chafu kwenye mzunguko mfano ananuanua mahindi na hela chafu then anauza na kupata Pesa safi
  8. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania habari natafuta mtu ambaye yupo tayari kukodisha laptop kwa mwezi

    Vipi nikitaka kuinunua then nkulipe kwa awamu na tuwekeane mkataba wa maandishi?
  9. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa kunikopesha Computer

    Nahitaji kama laptop ya laki nane ivi nani anaweza kunipa mkopo ili nilipe kwa installment awamu tatu kila mwisho wa mwezi
  10. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Mkuu Educational level apa kuna ku select na zipo option kama nne ivi Certificate in Primary Education Diploma in Secondary Education Diploma in Primary School Degree Sasa mimi nina Diploma in Electronics engineering nachagua ipi iyo
  11. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Nimefika sehemu ya College education mkuu mimi nimesoma engineering je najaza nini? Kinachoonekana ni Certificate in Primary Education Diploma in Secondary Education Diploma in Primary Education Degree
  12. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Wazee wa porini nipe ushauri

    Wakuu
  13. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Wakuu collge education mbona sioni engineering?
  14. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Mkuu wewe umejazaje course yako ya engineering pale kwenye college education?
  15. Willard Jonnes

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

    Tafuta hela wewe hao watu wenye shida hata uwasaidie vipi hawawezi kuisha hata mimi napenda paka na huwa nawapa msosi popote nkiwakuta
Back
Top Bottom