muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,048
- 1,479
Watu wakifa au kupoteza uhai kuna namna nyingi sana za kuhifadhi kulingana na mila, tamaduni, dini, siasa na hulka za watu
- Wengine wanachoma maiti mpaka kuwa majivu
- Wengine wanakausha na kuhifadhi maiti kwenye chumba maalum
- Wengi wanazika ardhini
- Wengine wanazika mapangoni kulingana na historia ya karne ya tano
- Wengine huhifadhi chini ya pyramid kulingna ana historia za Egypt