Recent content by Wilkntony

  1. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Wanaogoma wapaki Malori yao Nyumbani na wasiyaweke barabarani

    Hizo kampuni siyo kweli baadhi yao Cocacola wazidishaji wazuri sana hii naipinga, Kanji Lalji na TBL siyo sana kwa kanda ya ziwa hata ukienda katika kumbukumbu za vitabu vya mizani wamelipa sana faini. Cocacola ni zaidi sijui kwa kwa kanda zingine.
  2. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Magufuli,Ubabe katika shughuli za Serikali umepitwa na wakati!

    Magufuli hajafanya utafiti wa uharibifu wala barabara nini tatizo na mizani, kwani uharibifu unaanzia kutoka wizarani. Na katika ujenzi mzima wa miradi ya barabara kama barabara unajenga miaka miwili inabomoka mnakumbuka ile ya singida shelui, mchina aliambiwa arudie mchina kwa kuhofia kunyimwa...
  3. Wilkntony

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ukinunu flash na headphone ghara kusafirishia ni kubwa kuliko bidhaa yenyewe; tumia ebay za karibu kuliko usa ni mbali sana
  4. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwema!

    hongera
  5. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Malori makubwa ya mizigo katika barabara za MANDELA na MOROGORO yaanze saa5 usiku

    waziri mwenye dhamana anadili na watu wa mizani tu
  6. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga huu mjengo

    50-60:milioni
  7. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    unaweza kuwaona wataalamu watakusadia
  8. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Ujambazi Kariakoo

    Amesikia na imani hatarudia
  9. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Polisi yatoa Ufafanuzi wa 'Bomu' la Kanisani Kijitonyama

    Mhh hapo hakuna ukweli ni uwongo mkubwa.
  10. Wilkntony

    JamiiForums Tanzania Salamu za CHADEMA Iramba Magharibi

    Kila la kheri makamanda.
  11. Wilkntony

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa jf kuweni makini na avatar mnazoziweka.....

    mbona balaa
Back
Top Bottom