Recent content by Wilfred mayoge

  1. W

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Mungu amlaze mahala pema padri wetu alietangulia mbele ya haki kwani wote njia ni moja. Tukumbuke kuwa vita yetu si ya damu na nyama bali ni ya falme na mamlaka na mungu wetu atatupigania? What a sad day for zanzibar's christians
  2. W

    Hii picha kiboko!!!!!

    Come on zitto mtoto anataka mcheze join her for dancing
  3. W

    Fundi simu aina zote (flashing and unlocking) only software problems.

    Nina simu yangu Nokia c2-01 nimeiflash tatizo haipigi tena you tube je inaweza ikapona au ndio imekufa?
  4. W

    Hii ngoma ataiweza kweli?

    Duh hamna kitu hapo?
  5. W

    mazuzu

    Duh huyo zuzu ametisha.
  6. W

    Shahada ya elimu kufanya Kazi benki

    Usione fahari kuambiwa unafanya kazi benki wakati maslahi ni finyu. Jaribu kutafiti kipato unachokipata kwenye kazi ya ualimu na huko benki wapi maslahi yake ni mazuri na baada ya hapo ndio ufanye uamuzi sahihi.
  7. W

    Haya yalisemwa 1958 leo yametimia...

    Huyu ni legend aliefikiria kuhusu next generation na sio next election. We miss you Nyerere.
  8. W

    Ikifika 40 years kama hujafanikiwa ni ngumu kutoka...

    Kila kitu kinawezekana chini ya jua la muhimu ni kujituma na kutokataa tamaa maana huwezi jua bahati yako itaangukia muda gani. LIFE CAN CHANGE WITHIN A SECOND.
  9. W

    Utambulisho

    Asanteni nimefika
  10. W

    Acha DOGO Akasome, BONGO LAANA TUPU

    Duh anasimulizi ndefu kuja kuwaambia wajukuu wake? Hatari tupu!
  11. W

    Utambulisho

    Nipokeeni wana jamvi wenzangu tuwe pamoja.
Back
Top Bottom