Nilichosema, tatizo ambalo unalikwepa kulikubali, pia wanaume wapo wanaozuia plan za wake zao[ambazo ni za manufaa kwa familia] kukua.
Mimi nina mtu, yeye ni civil servant, tatizo lake ni mtu asiyejihangaisha kabisa, anaishi on his salary tu. Mkewe ni visionary sana, anahofia hatma ya familia...