Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

Itakuwa unashida mahala ndugu yangu.

YANI KABISA SERIOUS UNAKAA UNAMSIKILIZA MAYELE ALMOST SAA LIZIMA.

Sikiliza watu wa maana Wanaoweza kukusaidia kimaisha na kupata Mawazo mapya Mbadala.

BINAFSI HUWA NAWASOMA NA KUWASIKILIZA ZAIDI HAWA WAFUATAO.

Myres manroe.
Barbar Onelly
Julius Nyerere.
artin Luther King Jr.
Tony Robbins
John F. Kennedy
Winston Churchill
Mahatma Gandhi
Nick Vujicic
Abraham Lincoln
Brian Tracy
Nelson Mandela
Oprah Winfrey
Eric Thomas
Margaret Thatcher
Robin Sharma
Zig Ziglar
Barack Obama
Chris Gardner
Jim Rohn
Les Brown
Ronald Reagan
Simon Sinek
Socrates
Brené Brown
Darren Hardy
Vipi semaji la CAF?
 
Point kubwa ni kuwa Yanga wanamshambulia Kwa njia za kishirikina...hiyo ndo main point anachojaribu kusema...

Kuna mashabiki anawajua...watu wa ndumba ...wanatumika na club kwenye mambo ya kishirikina...wamekuwa pia wanamshambulia na yeye since aondoke Yanga...

Hiko ndo kilio chake
 
Ange deal na hao watu wake ndani ya club binafsi ningemuelewa, tatizo amewaficja hao watu wake na kuamua kuijumuisha club, kama ni damage kwa club basi angekuwa ameshaifanya kubwa sana.
Ila kama nilivyoandika, limit yake ya uelewa wa lugha nayo imechangia pakubwa sana mkanganyiko wa anayoyaongea. Ingawa kitabia pia ana changamoto inavyoonekana, zaidi ya kazi yake nzuri aliyoifanya uwanjani nilikua sifahamu mengine yamhusuyo
 
Katika mahijiano ya Dakika 50 na sekunde 3 aliyofanyiwa na Azam TV ambayo yameonyeshwa kwenye youtube channel ya kituo hicho, Fiston Mayele ameongea mambo kadhaa, lakini mimi nimeamua kuongelea suala lake la mahusiano na timu aliyoichezea, yaani Yanga pamoja na anayoichezea hivi sasa, yaani Pyramids FC.

Katika mahijiano hayo, Mayele ameonyesha kukerwa na comments za mashabiki wawili au watatu dhidi yake au familia yake na kuamua kuibebesha lawama timu nzima ya Yanga kwa comments za watu hao.

Mayele anasema alipojiunga na Yanga alipewa mkataba na aka sign, ali sign sababu alikuwa hajui kiingereza, Manager wake alikuwa hajui Kiingereza na alikuwa anachekacheka tu.

Ulipoisha msimu wa kwanza, ndipo akasmua kubadili Manager na kumtumia Jasmine ambaye kwanza alishangazwa na ule Mkataba. Akasimamia ubadilishwe, akaongezwa mshahara pia ukampa uhuru wa kuondoka ikitokea club inamhitaji.

Amesema aliahirisha kusema live alichotaka kusema sababu Tanzania ameacha watu wake (familia) ila ameshauriana na Jasmine kwamba mwisho wa msimu ndiyo aongee kila kitu.

Hayo sikuona kuwa ni big issue kivile, kilichonistua na alipoiponda hadi timu aliyoichezea sasa. Mayele anasema alipewa Mkataba na Pyramids FC, mkataba ule Jasmine akaukataa, kwa maelezo yake Mayele akasema “waarabu ni wahuni kama usupotumia akili watakukandamiza”.

Hii kauli inatosha sana kumuweka Mayele katika sintofahamu na maboss wake hao wa sasa.

Mayele anaonekana ni mtu anayependa sana social media na attention zake, siyo mbaya ila, anapaswa kuelewea negative na positive effects za social medias. Hivyo awe mwangalifu sana na aongeacho.

Wana Yanga waliokwazika na Mayele ningewashauri wasiyabebe hayo, ni kijana anajipigania, pia kati ya vitu vinavyopelekea kuwa na kauli zile ni limits aliyo nayo katika uelewa na matumizi ya lugha ya kiswahili. Anajifunza Kiswahili the hardway hali inayompelekea kutoa kauli zinazoonekana kuwa ni kero, kukosa ustaarabu n.k ila yote ni sababu ya kuwa na ufinyu wa uelewa wa lugha anayoitumia, maana anajifunza kurusha ndege huku akiendelea kufanya assembling.

Kama angetumia lugha ya kwao au Kifaransa kamwe asinge strugle. Hivyo muleweni tu na mumuache aendelee na maisha aliyoyachagua.
Mayele yupo real for sure nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.....

Embu wewe SEMA shida ilo wap 😊

Mpira Ni ajira nyie mnaleta KUCHEKA CHEKA

NILIWAI KUA KWENYE SITUATION KAMA YA MAYELE PIA NAJUA HOW IT'S

NI PUNGUANI PEKEE AMBAE HATO MUELEWA MAYELE..
 
Point kubwa ni kuwa Yanga wanamshambulia Kwa njia za kishirikina...hiyo ndo main point anachojaribu kusema...

Kuna mashabiki anawajua...watu wa ndumba ...wanatumika na club kwenye mambo ya kishirikina...wamekuwa pia wanamshambulia na yeye since aondoke Yanga...

Hiko ndo kilio chake
Anaonekana anahusudu sana mambo ya kishirikina
 
Ange deal na hao watu wake ndani ya club binafsi ningemuelewa, tatizo amewaficja hao watu wake na kuamua kuijumuisha club, kama ni damage kwa club basi angekuwa ameshaifanya kubwa sana.
Ila kama nilivyoandika, limit yake ya uelewa wa lugha nayo imechangia pakubwa sana mkanganyiko wa anayoyaongea. Ingawa kitabia pia ana changamoto inavyoonekana, zaidi ya kazi yake nzuri aliyoifanya uwanjani nilikua sifahamu mengine yamhusuyo

Hao watu ni "waganga wa timu"... kwahiyo club inahusika.....
Ushirikina WA Yanga uko so openly
Kuna clips za Aziz Ki anatoa sadaka ya coins kwenye uwanja sijui mkoa gani.......Yanga wanasifika Sana Kwa ushirikina toka miaka ya 60s.....Mayele anaongea anataka club iwabane hao waganga...anawajua keshafanya kazi nao ...
 
Itakuwa unashida mahala ndugu yangu.

YANI KABISA SERIOUS UNAKAA UNAMSIKILIZA MAYELE ALMOST SAA LIZIMA.

Sikiliza watu wa maana Wanaoweza kukusaidia kimaisha na kupata Mawazo mapya Mbadala.

BINAFSI HUWA NAWASOMA NA KUWASIKILIZA ZAIDI HAWA WAFUATAO.

Myres manroe.
Barbar Onelly
Julius Nyerere.
artin Luther King Jr.
Tony Robbins
John F. Kennedy
Winston Churchill
Mahatma Gandhi
Nick Vujicic
Abraham Lincoln
Brian Tracy
Nelson Mandela
Oprah Winfrey
Eric Thomas
Margaret Thatcher
Robin Sharma
Zig Ziglar
Barack Obama
Chris Gardner
Jim Rohn
Les Brown
Ronald Reagan
Simon Sinek
Socrates
Brené Brown
Darren Hardy
Sasa umefuata nini kwenye Uzi huu? Si ukawasome hao?
 
Mayele yupo real for sure nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.....

Embu wewe SEMA shida ilo wap 😊

Mpira Ni ajira nyie mnaleta KUCHEKA CHEKA

NILIWAI KUA KWENYE SITUATION KAMA YA MAYELE PIA NAJUA HOW IT'S

NI PUNGUANI PEKEE AMBAE HATO MUELEWA MAYELE..
Kama ungesima nilichosndika kamwe usingeandika comment hii
 
Hao watu ni "waganga wa timu"... kwahiyo club inahusika.....
Ushirikina WA Yanga uko so openly
Kuna clips za Aziz Ki anatoa sadaka ya coins kwenye uwanja sijui mkoa gani.......Yanga wanasifika Sana Kwa ushirikina toka miaka ya 60s.....Mayele anaongea anataka club iwabane hao waganga...anawajua keshafanya kazi nao ...
Hizo unazoleta ni Abracadabra zenu za miaka nenda rudi. Labda kwa kuwa ni vitu mnavyoviendekeza na kuviishi ndiyo maana kwenu imekuwa rahisi sana kumuelewa kuliko sisi wengine.
 
Msishangae siku moja kuona jamaa ni straika wa Namungo au timu za kaliba hiyo.
 
Mayele yupo real for sure nimemsikiliza kwa utulivu mkubwa.....

Embu wewe SEMA shida ilo wap

Mpira Ni ajira nyie mnaleta KUCHEKA CHEKA

NILIWAI KUA KWENYE SITUATION KAMA YA MAYELE PIA NAJUA HOW IT'S

NI PUNGUANI PEKEE AMBAE HATO MUELEWA MAYELE..
Kua real sio kuropoka acha ujinga, unawezaje kusema waarabu sio watu wazuri wakati huo huo umeajiliwa na waarabu unaishi kwao kila kitu unapata kutoka kwao! anasema hua hakai kwenye timu msimu zaidi ya miwili wakati hata mmoja haja maliza na ali sign miaka mitatu maana yake coach aanze kumtoa kwenye mipango yake au ili iweje? Mbappe huyo apo inafahamika anaondoka PSG lakini anasema msimu ukiisha ndio ataongea hatima yake
 
Anaijua Yanga ...keshacheza...na waganga wa Timu anawajua...anawalalamikia kwanini wanataka kumshughulikia kisa kahama Tu Yanga?
Hivi kati ya Morrison, Feisal, Bangala na Mayele nani aliondoka Yanga kwa mizingwe? mbona hao wengine wamecheza huko waliko bila tatizo bila tatizo imekuaje yeye pekee ndio alogwe? atulize akili acheze mpira huku mtandaoni hakuna msaada wowote
 
Ni sahihi kabisa.
 
Hatuna time nayee kumbe boyaa tu, mwanaume unashindwa kumove on.....,ukutee Rais wa Pyramid amemlaa Tako chezea warabuu.
 
Ni sahihi, alikuja hajulikani akiwa amepauka. Alipofika mjini, akaogeshwa kwa maji ya chumvi ya Dar. Ukoko na utandu ukamtoka usoni, akang'aa. Akaimbwa na akapata ufalme.

Akajiona yeye ni bora kuliko Yanga na bila yeye Yanga si kitu. Akaenda Misri, huku Yanga ikashine pasipo yeye. Timu yake ikaishia Makundi Yanga ikasonga hadi kutolewa kwa mizengwe.

Ufalme Ukahamia kw Pacome, Max, Azizi, Yao, Mudahiri na wanajeshi wengine. Haongelewi, hasifiwi, hatafutwi na amesahaurika. Sasa anatafuta huruma na kuisemea na kuilaumu Yanga kwa kila jambo.

Tulishamsahau na maisha yanaendelea huku. Akiendelea kuleta mdomo, tutaanza kampeni ya kumu unfollow kwenye mitandao ya kijamii Sasa.
kumbe bado mmemfollow.

huyu jamaa anamiss sana yanga. kwanza kuondoka kwake alidhani ndo timu inakufa MUNGU sio ATHUMANI kamng'arisha AZIZ KI mpaka nawaza au alikua anamficha.
halafu ufalme wake umechukuliwa na PACOME naamini hamna siku ilimchoma kama pacome day.
wivu unamsumbua na kukosa attention anawaza na yeye angepata mayele day
 
Back
Top Bottom