Recent content by wijma

  1. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    weee kuhesabu siku tena?
  2. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    utajiri wa nini umh hilo swali gumu kwa mfano wewe hilo swali ungelijibu vipi
  3. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    wa misukule huo mgumu huo wa madawa unapatikana wapi
  4. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    je wewe unapenda umaskini?
  5. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    raha ya pesa kuzitumia sasa hapo kwenye kutopanda gari langu tena hapana
  6. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    kimeo kinagoma kpm,ila nikisharekebisha mambo nitaku-pm mkuu
  7. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    ngende ipo wapi na nani anafanya kazi hiyo
  8. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    hilo tu!ni rahisi sana
  9. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    weee!nani kakwambia anahitaji utajiri wa kumbaka mama yake?
  10. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    we ndiyo umewaza mbali zaidi!hapo nafanya kama akili zimechanganyika kidogo
  11. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    nashukuru kwa ushauri wako mzuri
  12. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    asante kwa ushauri
  13. W

    JamiiForums Tanzania je kuna ukweli kuhusu utajiri huu

    naombeni kujuzwa kuhusu waganga wanaotoa utajiri wa kishirikina.je kuna ukweli wowote kuhusu hili na kama ni kweli je kila mtu akienda kuzichukua hizo nani atakuwa masikini?
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jane wa Mwenge kwa mlio lala nae

    inategemea na aina ya kipimo alichotumia
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuokoka ni lazima guest house

    njombe hii nomaa
Back
Top Bottom