- Thread starter
- #21
dogo unapenda maisha ya kitajiri nenda kambake mama yako utakuwa tajiri bila masharti
je wewe unapenda umaskini?
dogo unapenda maisha ya kitajiri nenda kambake mama yako utakuwa tajiri bila masharti
Asilimia Kubwa Ya Wafanya Biashara Wanatumia Dawa.
Kuna Utajiri Wa Aina Mbili. Kuchukua Msukule Iwe Inakufanyia Kazi Masharti Yake Magumu. Na Mwingne Ni Dawa Masharti Yake Ni Nafuu.
Kazi Kwako Sasa
wa misukule huo mgumu huo wa madawa unapatikana wapi
Inategemea Unataka Kuufanyia Nin
sikia nani kakwambia wakinga wanaua ndgzao ilikuwaga kitambo sahz kunamasheriti cmple xana kamali yakuku namahndi mganga anakucheki anajua wewe utaish miaka labda 40 anamwaga mahndi 40 analetwa kuku wa dawa uyo anawekwa kene maize pale then anaanza kudonoa akidonoa km 25 inamana unakula bata dunian miaka 25 na 15 inayobaki unaenda kuwa musukule wa mganga kuwataftia pexa walobaki hakuna sheriti lolote apo mkataba 2 waganga wapo ilula,makete,tunduma,kyela na mpakani mwa tz namalawi wamakete uyo yemwenyewe tajiri wakufa paipo ushauri wangu nini we subiri mwakani utatajirika ucondoke town hapa fujo ztatokea zakufa m2 so we utakomaa kuokota mali zawatu lakini ujitoe kufa kupna mwakani kuna fujo haijawah tokea bongoland wait ccm na wanaharakati waliochoka kuwatajirisha kina riz one
utajiri wa nini umh hilo swali gumu kwa mfano wewe hilo swali ungelijibu vipi

ngende ipo wapi na nani anafanya kazi hiyo
Ni sentensi moja hiyo umeandika?Umeweka rekodi ya kuandika sentensi ndefu ya kiswahili mkuu. Matumizi ya herufi 'x' katika maneno ya kiswahili yanasomekaje?
Turudi kwenye mada,ni kweli kabisa ulichosema hapo,kuna watu wanauza miaka ili kupata utajiri,nimesikia sana habari zake kutoka katika vyanzo madhubuti.