Recent content by why

  1. W

    JamiiForums Tanzania Masonga kusema ya moyoni, tar 21 June, Njombe Kusini

    Kijana wa Vijana Mkoa wa Njombe kusema ya Moyoni tar 21 June Mkoani Njombe kuelekea uchaguzi Mkuu 2015. Tayari Njombe Kusini inasadikiwa kuwa na Watia nia zaidi ya kumi (10) hadi sasa, wakati masonga akitajwa sana kuwa ni moja ya wagombea makini lakini hadi sasa hakuwahi kusikika akiweka wazi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge njombe kusini 2015

    Sagasaga sasa mana Masonga kakimbia
  3. W

    JamiiForums Tanzania Masonga ajitoa kugombea jimbo la njombe kusini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Ndg Emmanuel Masonga yasemekana ameamua kujitoa katika kinyang'anyiro cha Kugombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Kusini, Taarifa zimeonekana kusambaa katika mitaa ya hapa mjini kuwa amejitoa, taarifa ambazo hazipata kuthibitisha sababu za kijana huyo...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Vile namfahama Emmanuel Masonga angekuwa ni kichaa kama Juliana Shonza angeweza kumuomba uchi ili atulie mana Shonza ukimtia tuu huwezi ona akikuponda katika mtandao hata siku moja sasa kijana Masonga mseminari hawezi ingia katika mtego wa kukutumliza kwa kukutimizia haja zako za kimapenzi huo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kigoma waliolipwa pesa kuchafua CHADEMA wachelewa kufika Dar

    Wazee wa Kigoma waliopangwa kuchafua uchaguzi wa CHADEMA kwa bahati mbaya wameshindwa kufika ndani ya muda wa kurudisha fomu kutokana na umbali wa safari ya kutoka Kigoma. Wazee hao ambao waliandaliwa kutoa tamko la kupinga wazee waliotoka Kigoma na kumchulkulia fomu mheshimiwa Mbowe...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tunachukulia tahadhari kauli ya mawakala wa CCM kuhusu; Mwenyekiti Mbowe, Katibu Mkuu Dkt. Slaa

    stupidity kabisa hii kushughulika na Ludovick alie ingia kwenye kundi la wasaliti sasa anaitaje kurugenzi yetu? muacheni aendelee kuharisha
  7. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa BAVICHA Mkoa wa Njombe moto

    Masonga kaibuka mshindi aisee
  8. W

    JamiiForums Tanzania Polisi kumulika CHADEMA kutokana na kupanga njama zenye mwelekeo wa ugaidi

    BARAZA LA VIJANA MKOA WA NJOMBE LIMEPINGA VIKALI TUHUMA ZINAZOENDELEA KUTOLEWA NA SERIKALI DHIDI YA CHADEMA KWA KUTUMIA VYOMBO VYA DOLA NA USALAMA WA TAIFA. AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA MKOA WA NJOMBE KWA NJIA YA SIMU kiongozi wa vijana WA CHADEMA MARA TU BAADA YA KUCHAGULIWA SIKU...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tamko la Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu

    Limeambatishwa hapo katika PDF File
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

    huyu nataka kukunwa kweli hapa mana sijui hao BAWACHA wa nini hapa Sasa ndio utajua ukweli mbaya sana siku zote CCM hujifanya wema kwa wananchi kumbe ndio zao mbwembwe zote dodoma kupiga kodi za watanzania na wanaofanya kazi watumishi hata mishahara yao hawapewi na Sitta anatangaza kuwa posho...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Clouds yaipotezea UKAWA

    Clauds fm rasmi leo imetangaza rasmi kuwa ni radio ya ccm na sasa kuungana na radio uhuru na gazeti la uhuru kufanya kazi ya uenezi wa ccm. Akiongea katika kipindi cha power breakfast wanadai hawataangaza tena habari za ukawa. Hii ndio readi pekee inayojinadi kwa umbea na unafiki kama watu wasio...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

    kwa hiyo kama upo dodoma ndio unajua hata account za watumishi wa bunge kuwa wamelipwa? acha ujinga hapa kama ndio mhusika lipeni watumishi wenu haraka hapa porojo hakuna mana nyie mnagawana posho na kujitangaza na sitta wenu halafu wanaowahudumia hakuna mishahara jamani dats not fair
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

    Hivi sasa huyu jamaa vip ambae unakataa je ni msemaji wa serikali au bunge mana hueleweki hapa, kama watumishi hawajalipwa unataka wakae kimya?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

    hahahaha kweli chagueni tena CCM jamani mana kama utii unazidi hivi hadi mishahara inagoma hadi leo tar 36 hahahaha kazi kweli fikisheni hadi tar 60 hao mabwege kweli
  15. W

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

    Hapa sasa naona kuna jambo mana kama watumishi wenyewe wanalalamikia mishahara je nini kinafichwa hapa? acheni ujinga na uongo jamani nyie mnakula posho ya laki tatu kwa siku theni watumishi zero dis is not fair mshahara ni haki ya m fanyakazi bana
Back
Top Bottom