Masonga ajitoa kugombea jimbo la njombe kusini

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Ndg Emmanuel Masonga yasemekana ameamua kujitoa katika kinyang'anyiro cha Kugombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Kusini, Taarifa zimeonekana kusambaa katika mitaa ya hapa mjini kuwa amejitoa, taarifa ambazo hazipata kuthibitisha sababu za kijana huyo kujitoa. Marafiki zake wameshindwa kuelezea sababu ingawa wamekili kuwepo kwa taarifa za yeye kujitoa.

Wagombea wengine ambao wanapewa kipaumbele ni pamoja na Rose Mayemba, Stanslaus Mdetele, Emmnuel Filangali, Ally Mhagama Maarufu Dr Sagasaga, Alatanga Nyagawa, Fack Lulandala, Lucia Mlowe na Lutiga Haule.

Vijana wengi walkua wakimuung mkono Emmanuel Masonga ambapo sasa hali inaweza kubadilika kutoakana na yeye kujitoa, ni wazi sasa Ally Mhagama na Fack Lulandala pamoja na Alatanga Nyagawa wakawa ndio wenye mvutano mkali kwenye kura ya maoni.
 
Back
Top Bottom