Watumishi wa bunge walia na mishahara hadi leo tar 6 hawajalipwa.

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Watumishi hao wasikitishwa na kauli za kulopana posho kwa wabunge huku wao ambao ni wahudumu muhimu katika vikao hivyo kutolipwa mishahara hadi sasa.

Mmoja wao akizungumza hapa mjini dodoma katika sehemu moja ya kupata vinywaji anadai huu ni ujinga hasira zao kwa ukawa wanahamishia kutokutulipa sisi wafanyakazi hii ni serikali dhalimu ambayo haijali wafanyakazi.

Utasikia bungeni wanatangaza eti wajumbe wanaotaka kuchukua cash waende ofisi za uhasibu na wengine wale wa nmb tayari zimeingizwa huku sisi hata mshahara wa mwezi wa saba bado hatujalipwa hadi sasa, je huu ni uungwana?

Hela za wajumbe zipo ila za mishahara yetu hazipo huu ni upumbavu kabisa wa serikali hii kwenye maisha yetu wanafanya propaganda tuu.

Haya ni maneno ya mtumishi wa bunge akilalama hapa bar kweli ccm ni hatari.
 
Mkuu pengine unabunge lako la bawacha mimi nipo dodoma kwa sasa baadhi ya watumishi wa bunge ni jamaa zangu hawana hiyo shida unayodai wewe tafuta uongo mwingine ndugu.
 
Mtakuja kufa usiku kwa uongo kwani ukisema uongo mnapata faida gani kwenye hii dunia any way uongo jadi yenu endelea nao.
 
Ni kawaida kwa magamba kukana kila kitu. Uongo ndiyo sera ya CCM kwa sasa.
 
Ha ha!!! Hao watumishi wa bunge si ndo makada watiifu wa CCM? Serikali yao haramu haitaki kuwalipa tena? Unbelievable! Chagueni CCM tena 2015.
 
Mtakuja kufa usiku kwa uongo kwani ukisema uongo mnapata faida gani kwenye hii dunia any way uongo jadi yenu endelea nao.
Hapa sasa naona kuna jambo mana kama watumishi wenyewe wanalalamikia mishahara je nini kinafichwa hapa? acheni ujinga na uongo jamani nyie mnakula posho ya laki tatu kwa siku theni watumishi zero dis is not fair mshahara ni haki ya m
fanyakazi bana
 
Ha ha!!! Hao watumishi wa bunge si ndo makada watiifu wa CCM? Serikali yao haramu haitaki kuwalipa tena? Unbelievable! Chagueni CCM tena 2015.
hahahaha kweli chagueni tena CCM jamani mana kama utii unazidi hivi hadi mishahara inagoma hadi leo tar 36 hahahaha kazi kweli fikisheni hadi tar 60 hao mabwege kweli
 
Kwa hiyo wewe ni msemaji wa serikali? Hebu tueleze ukweli sasa!
Hivi sasa huyu jamaa vip ambae unakataa je ni msemaji wa serikali au bunge mana hueleweki hapa, kama watumishi hawajalipwa unataka wakae kimya?
 
Mkuu pengine unabunge lako la bawacha mimi nipo dodoma kwa sasa baadhi ya watumishi wa bunge ni jamaa zangu hawana hiyo shida unayodai wewe tafuta uongo mwingine ndugu.
kwa hiyo kama upo dodoma ndio unajua hata account za watumishi wa bunge kuwa wamelipwa? acha ujinga hapa kama ndio mhusika lipeni watumishi wenu haraka hapa porojo hakuna mana nyie mnagawana posho na kujitangaza na sitta wenu halafu wanaowahudumia hakuna mishahara jamani dats not fair
 
Ma-Opportunist siku zote ndo zao hizo! Huwa hawana dhamira ya kweli bali huwa derived na kile wanachokidhamiria kukipata kwa gharama yoyote ile!!! Huwezi amini lakini ukweli ni kuwa walidhani wataweza kuwahadaa na kuwarubuni wale wajumbe wa Bunge la Katiba!!! Mwanzoni walitaka kufanikiwa kidogo LAKINI baada ya wao kuzunguka Tanzania na kushuhudia Umasikini wa kutisha kwenye Ardhi yenye Maliasili ya Kila aina wakabadili Msimamo WAKAAMUA kwa dhaati kuwapatia Watanzania KATIBA itakayojibu na kuondoa UMASIKINI ... Waliharibu zaidi Walipo Muua Dr Mvungi... CCM wana fedha nyingi za kuhonga na kuhujumu wapinzani wao lakini HAWANA fedha za kuwalipa Watumishi wa UMMA.... Mbaya Zaidi hawataki hata kura za Watumishi BALI watumishi ndio Hujigonga na kujipendekeza kwao!!! ... Itoshe kusema BORA EBOLA kuliko CCM ya akina SItta, Lukuvi, Membe, Nchemba et al ...
Watumishi hao wasikitishwa na kauli za kulopana posho kwa wabunge huku wao ambao ni wahudumu muhimu katika vikao hivyo kutolipwa mishahara hadi sasa.

Mmoja wao akizungumza hapa mjini dodoma katika sehemu moja ya kupata vinywaji anadai huu ni ujinga hasira zao kwa ukawa wanahamishia kutokutulipa sisi wafanyakazi hii ni serikali dhalimu ambayo haijali wafanyakazi.

Utasikia bungeni wanatangaza eti wajumbe wanaotaka kuchukua cash waende ofisi za uhasibu na wengine wale wa nmb tayari zimeingizwa huku sisi hata mshahara wa mwezi wa saba bado hatujalipwa hadi sasa, je huu ni uungwana?

Hela za wajumbe zipo ila za mishahara yetu hazipo huu ni upumbavu kabisa wa serikali hii kwenye maisha yetu wanafanya propaganda tuu.

Haya ni maneno ya mtumishi wa bunge akilalama hapa bar kweli ccm ni hatari.
 
Watumishi hao wasikitishwa na kauli za kulopana posho kwa wabunge huku wao ambao ni wahudumu muhimu katika vikao hivyo kutolipwa mishahara hadi sasa.
Wawaombe wajumbe wa katiba ya CCM wawapunguzie mshiko!
Wanawabania kwani?
 
Mkuu pengine unabunge lako la bawacha mimi nipo dodoma kwa sasa baadhi ya watumishi wa bunge ni jamaa zangu hawana hiyo shida unayodai wewe tafuta uongo mwingine ndugu.

Unapiga pesa za wananchi
 
Watumishi hao wasikitishwa na kauli za kulopana posho kwa wabunge huku wao ambao ni wahudumu muhimu katika vikao hivyo kutolipwa mishahara hadi sasa.

Mmoja wao akizungumza hapa mjini dodoma katika sehemu moja ya kupata vinywaji anadai huu ni ujinga hasira zao kwa ukawa wanahamishia kutokutulipa sisi wafanyakazi hii ni serikali dhalimu ambayo haijali wafanyakazi.

Utasikia bungeni wanatangaza eti wajumbe wanaotaka kuchukua cash waende ofisi za uhasibu na wengine wale wa nmb tayari zimeingizwa huku sisi hata mshahara wa mwezi wa saba bado hatujalipwa hadi sasa, je huu ni uungwana?

Hela za wajumbe zipo ila za mishahara yetu hazipo huu ni upumbavu kabisa wa serikali hii kwenye maisha yetu wanafanya propaganda tuu.

Haya ni maneno ya mtumishi wa bunge akilalama hapa bar kweli ccm ni hatari.

aendelee kuikumbtia ccm. Atalia na nafsi yake.
 
Mkuu pengine unabunge lako la bawacha mimi nipo dodoma kwa sasa baadhi ya watumishi wa bunge ni jamaa zangu hawana hiyo shida unayodai wewe tafuta uongo mwingine ndugu.

Bawacha wanaingiaje hapa? Unawashwa unahitaji mtu wa kukukuna?
 
huyu nataka kukunwa kweli hapa mana sijui hao BAWACHA wa nini hapa Sasa ndio utajua ukweli mbaya sana siku zote CCM hujifanya wema kwa wananchi kumbe ndio zao mbwembwe zote dodoma kupiga kodi za watanzania na wanaofanya kazi watumishi hata mishahara yao hawapewi na Sitta anatangaza kuwa posho zipo tayari kwa wajumbe wanmaotaka cash waende uahasibu halafu watanzania mnataka huyu aje kuwa rais wetu jaman haya makapi ndio yatuongoze sis kweli tuko usingizini au
 
Hapa sasa naona kuna jambo mana kama watumishi wenyewe wanalalamikia mishahara je nini kinafichwa hapa? acheni ujinga na uongo jamani nyie mnakula posho ya laki tatu kwa siku theni watumishi zero dis is not fair mshahara ni haki ya m
fanyakazi bana
Hebu acha uongo
kwanza umesema ni CCM mara idara ya uhasibu
hueleweki km umekaa na Mhudumu hapo wa Bunge muambie aache kazi 4hrs atalipwa na miezi mingine mbele hata 2
akamuulize Mama Kippa ni Mfanyakazi gani wa Bunge hapa Dodoma hana Gari au Nyumba?
Kwa taarifa yako hapo wengi wa Wafanyakazi ni Ndugu wa Bosi au Mbunge wato hoehae hawapati kazi
kwa hiyo sio watu wa njaa njaa
mm niko nao na hata wasikudanganye

Mkuu pengine unabunge lako la bawacha mimi nipo dodoma kwa sasa baadhi ya watumishi wa bunge ni jamaa zangu hawana hiyo shida unayodai wewe tafuta uongo mwingine ndugu.
HUYU JAMAA NI MUONGO WA KUTUPWA ALIYEJAA CHUKI
ASEME NI BAR GANI YA BUNGE YUPO maana vyakula vyote ni bei ghali na ni Wafanyakazi haohao wanakula tena ni bei juu kuliko Mjini (Hapo kweny kitiM bei ni 7,000/= badala ya 3,500/=
Tangu enzi za Spika Sitta walitafutiwa viwanja wana nyumba na magari
LEO WANALIA NJAA?
 
Watumishi hao wasikitishwa na kauli za kulopana posho kwa wabunge huku wao ambao ni wahudumu muhimu katika vikao hivyo kutolipwa mishahara hadi sasa.

Mmoja wao akizungumza hapa mjini dodoma katika sehemu moja ya kupata vinywaji anadai huu ni ujinga hasira zao kwa ukawa wanahamishia kutokutulipa sisi wafanyakazi hii ni serikali dhalimu ambayo haijali wafanyakazi.
wamchague prof. anna tibaijuka atawasaidia kwenye mbio za urais 2015. kwa taarifa yako rais ambae watanzania wanamuhitaji ni msomi zaid wa uchumi. nae ni prof. anna tibaijuka. huyo ndie chaguo la vijana wasomi na wanawake na watanzania kwa ujumla. prof. anna tibaijuka ndo habari ya mjini sasaivi kwa mbio za urais 2015

Utasikia bungeni wanatangaza eti wajumbe wanaotaka kuchukua cash waende ofisi za uhasibu na wengine wale wa nmb tayari zimeingizwa huku sisi hata mshahara wa mwezi wa saba bado hatujalipwa hadi sasa, je huu ni uungwana?

Hela za wajumbe zipo ila za mishahara yetu hazipo huu ni upumbavu kabisa wa serikali hii kwenye maisha yetu wanafanya propaganda tuu.

Haya ni maneno ya mtumishi wa bunge akilalama hapa bar kweli ccm ni hatari.
wamchague prof. anna tibaijuka urais 2015 atawasaidia tu. kwa taarifa yako rais ambae watanzania wanamuhitaji ni msomi zaid wa uchumi. nae ni prof. anna tibaijuka. huyo ndie chaguo la vijana wasomi na wanawake na watanzania kwa ujumla. prof. anna tibaijuka ndo habari ya mjini sasaivi kwa mbio za urais 2015
 
Ha ha!!! Hao watumishi wa bunge si ndo makada watiifu wa CCM? Serikali yao haramu haitaki kuwalipa tena? Unbelievable! Chagueni CCM tena 2015.

kwa taarifa yako rais ambae watanzania wanamuhitaji ni msomi zaid wa uchumi. nae ni prof. anna tibaijuka. huyo ndie chaguo la vijana wasomi na wanawake na watanzania kwa ujumla. prof. anna tibaijuka ndo habari ya mjini sasaivi kwa mbio za urais 2015
 
Back
Top Bottom