Masonga kusema ya moyoni, tar 21 June, Njombe Kusini

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Kijana wa Vijana Mkoa wa Njombe kusema ya Moyoni tar 21 June Mkoani Njombe kuelekea uchaguzi Mkuu 2015.
Tayari Njombe Kusini inasadikiwa kuwa na Watia nia zaidi ya kumi (10) hadi sasa, wakati masonga akitajwa sana kuwa ni moja ya wagombea makini lakini hadi sasa hakuwahi kusikika akiweka wazi juu ya yeye kugombea au lah.

Jumapili ya Tar 21 tutamsikia rasmi akizungumza na wananchi katika mkoa wa Njombe na kusikia dhamira yake ambayo amedai kuweka hadharani siku hiyo kama alivyoeleza katika ukurasa wake wa Facebook.

Lets wait an see, Viva CHADEMA viva UKAWA 2015.
 
Back
Top Bottom