Recent content by Why so serious

  1. Why so serious

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawasaka wamiliki wa Kampuni ya MEIS Industries kwa tuhuma za kutoroka na mabilioni

    Huyu jamaa ni graduate wa DIT, yupo vizuri kwenye computer security ila anaitumia kinyume (hacking) na ndio maana anajua vingi. Vile vile watu wa system ambao hawamkubali mkulu wanamfeed classified informations.
  2. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Mku Nimeona nisiendelee kumjibu analeta mambo ya kwenye kahawa .
  3. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Forgery kivipi wakati mzigo unakaguliwa kwenye country of destination. Kule customs officer ana compare mzigo ulioingia na kile kilichoainishwa kwenye profoma invoice!
  4. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Huyu Ben ni mtu wa kukurupuka sana. Sheria zimejieleza hatua gani zichukuliwe kwenye EAC Customs Management Act.
  5. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia TRA yatoa orodha ya Mawakala wa Forodha 384 wanaosafirisha mizigo kwenda nchi jirani kujieleza kwa hujuma. Wapewa siku 7

    Serikali ipo katika hatua ya ku create unemployment kwa raia we unaita majungu! Acha umaku.
  6. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Kwa wakali wa draft

    Hamna supa hapo unachukua ya pembeni unampa ale bure kisha una sogeza ya meja mbele.
  7. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Mandojo na Domo Kaya: Tumeibiwa kila kitu tunashukuru P-Funk majani katurekodia bure

    Jamaa ni mavocalist bora wa wakati wote kwa hapa TZ!
  8. Why so serious

    JamiiForums Tanzania 1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

    Upo sahihi
  9. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa upinzani kutoa zawadi kwa wagonjwa ni kosa?

    Ndivyo ilivyo uwanja wao, mpira wao, refa wao....
  10. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Dr. Vicent Mashinji: Kamata kamata haitatui shida za watu

    Kanga moko ndembe ndembe, laki si pesa... Ukiachana na matatizo yake ya akili, alicho kisema ni uongo!?!?
  11. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa upinzani kutoa zawadi kwa wagonjwa ni kosa?

    Unafikiri serikali itaruhusu inyang'anywe point tatu kizembe kizembe namna hii!?!?
  12. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Tatizo la inzi kunifuata kila sehemu, maana yake ninini?

    Una nyota ya JALALA...
  13. Why so serious

    JamiiForums Tanzania Baada ya sakata la Airtel tujiulize IPP ya Serikali ilikopotelea

    Hivi National Milling bado ipo!?!?
Back
Top Bottom