Dr. Vicent Mashinji: Kamata kamata haitatui shida za watu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899

Mh. Magufuli unahangaika sana na “ORGANIZATION CULTURE” pata mtaalam akuelekeze inavyobadilishwa. kamata kamata haitatui shida za watu, dawa ni: Toa uhuru wa habari, sikiliza wanaokupinga kwani wanakupa ambayo hukuyatilia maanani. Leta katiba ya Warioba then staafu kwa amani
 
Dr . Mashinji nadhani ana matatizo ya akili anaongea vitu havieleweki hawa Madaktari waliosomea Urusi wengi wanakuwaga na matatizo ya akili hana tofauti na Dr. Shika
 
Dhalimu AKA [HASHTAG]#ngwinimkazavyuma[/HASHTAG] na woga wake wa kuhofia kukosolewa na utendaji wake wa hovyo.
 
Asante Dr Mashinji kwa kumpa makavu live huyu mhe mtukufu asiyekosolewa.
 
Mh. Magufuli unahangaika sana na “ORGANIZATION CULTURE” pata mtaalam akuelekeze inavyobadilishwa. kamata kamata haitatui shida za watu, dawa ni: Toa uhuru wa habari, sikiliza wanaokupinga kwani wanakupa ambayo hukuyatilia maanani. Leta katiba ya Warioba then staafu kwa amani
......mwanasiasa togwa !
 
Huo mzoga Upo?
Eee Mungu Baba Muumba Mbingu na Ardhi,ikiwa leo ni siku muhimu katika kalenda yako na watu huku waamini na kutukuza huku wakikuomba katika 'kuokoa Taifa,Nchi Tanzania,Taifa linaloangamia kwa kasi kwa watu wake kukosa maarifa,Eee Mungu "Ng'ofoa" roho za watu kama hawa.
 
Dr . Mashinji nadhani ana matatizo ya akili anaongea vitu havieleweki hawa Madaktari waliosomea Urusi wengi wanakuwaga na matatizo ya akili hana tofauti na Dr. Shika
kumbe mlimtumia mtu asiye na akili kwenye kampeni kwahiyo wote ni punguani?
 
Mashinji yuko sahihi kabisa. Ukomavu na busara ya kutawala inatokana kusahihishwa. Namkubali umakini wa Dr.mashinji ni mzuri kichwani. Aliacha gumzo chuo kikuu cha Makerere alipopatia shahada yake ya kwanza ya udaktari "MD" lumunba punguzeni miemuko
 
Mh. Magufuli unahangaika sana na “ORGANIZATION CULTURE” pata mtaalam akuelekeze inavyobadilishwa. kamata kamata haitatui shida za watu, dawa ni: Toa uhuru wa habari, sikiliza wanaokupinga kwani wanakupa ambayo hukuyatilia maanani. Leta katiba ya Warioba then staafu kwa amani
Na nyie mbadilike bhana maisha gan ya kukamatwa kamatwa au ndo kunawasaidia kupeleka maendeleo kwny majimbo yenu?

Mnapenda kiki tatizo,walikamatwa kina mandela yan hadi walifeel kwel wamekamatwa,sio nowdays unakamatwa leo kesho unaachiwa kwa dhamana.

Mkishinda kesi nyie basi mahakama ipo huru,mkishindwa basi mahakama haipo huru inapokea maelekezo toka juu
KAMA ISIDINGO VILE,SO BORING FRANKLY
 
Mh. Magufuli unahangaika sana na “ORGANIZATION CULTURE” pata mtaalam akuelekeze inavyobadilishwa. kamata kamata haitatui shida za watu, dawa ni: Toa uhuru wa habari, sikiliza wanaokupinga kwani wanakupa ambayo hukuyatilia maanani. Leta katiba ya Warioba then staafu kwa amani
Hakika ni ushauri mzuri wa kitaalamu maana ni maneno machache na ujumbe mkubwa!
 
Mh. Magufuli unahangaika sana na “ORGANIZATION CULTURE” pata mtaalam akuelekeze inavyobadilishwa. kamata kamata haitatui shida za watu, dawa ni: Toa uhuru wa habari, sikiliza wanaokupinga kwani wanakupa ambayo hukuyatilia maanani. Leta katiba ya Warioba then staafu kwa amani
Hii ndo ccm mpya itajenga Na ilishajenga viwanda 3300 sijui wanajua maana ya viwanda? Awamu hii full kutumia maigizo Na nguvu kubwa kujitangaza kuliko kutenda kutwa live kwenye matv aonekane
 
Magufuli anafanya kazi amerudisha heshima serikalini issue ya vimemo kwishaa..tatizo lake ana visasi, ana chuki ya wazi wazi kwa wapinzani tena hatamani hata KUTAMKACHADEMA. .hataki ushauri na hii issue ya lissu ndio nimekosa amani kabisa.Tanzania imebadilika hatujawahi kuishi hivi, kwann tushindane kwa hoja mpaka bunduki itumike? 70% kuna ukweli lissu kasema ndio maana yamemkuta. Tunge muomba arudishe utanzania tulio uzoea. . Tupambane na hao walio tutia changa la nacho kwa matumbo yao. Kawaminya sana wapinzani tena kwa nguvu zote. Mi nadhani kwa kuwa yeye ni rais kwann asifanye nchi iwe ya chama kimoja ili tuelewe moja?
 
Dkt Mashinji anazidiwa umaarufu na Makarai Kama kina Yeriko
Na Yeye kaanza ku post utumbo awe Maarufu
 
Dr . Mashinji nadhani ana matatizo ya akili anaongea vitu havieleweki hawa Madaktari waliosomea Urusi wengi wanakuwaga na matatizo ya akili hana tofauti na Dr. Shika
Wewe mkorofi huna hoja. Unaanza matusi unadhani CCM tunawapenda wanaojitoa ufahamu kama wewe? Hayo mahaba yako uchwara yasifanye sote tuonekane hamnazo. Haya umemuingiza Dr. Shika hapa kwa mintaarafu ipi? Anaweza kukufungulia kesi ya kumkashifu utoe ushahidi kama kweli anamatatizo ya akili. Usinunue kesi kisa Wewe ni mfia Chama .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom