Recent content by WhoWeBe

  1. W

    Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

    Kwakweli aisee, wengi ni motivesheno spikaz tu; hawajawahi kudanya wala kufika maeneo wanayoyazungumza.
  2. W

    Hivi nimedanganywa humu au? Wiki ya pili ndani ya Lindi sijafanikiwa kupata mwanamke!!

    Ukiwa humu jukwaani, stori za urahisi wa upatikanaji wa wanawake Lindi zinafika elfu moja au zaidi kwa siku. Picha inayokuja kichwani ni kwamba ukifika tu wanakukimbilia......Big no! Nina wiki ya pili sasa nahangaika na upwiru (genye) wangu bila mafanikio. Kila nikiwasimamisha na kuwaelewesha...
  3. W

    Bodaboda wanatuchunguza na kutujadili sana. Be warned

    Ila boda wazuri sana ukikwama na baridi ugenini, ukiwaomba wanakujuza wapi dada poa wanapatikana.....hata wanaojiuza majumbani wao wanawajua.
  4. W

    Swali fikirishi; Hivi kwanini wanaoponda sana mikoani ni watu wa mikoani zaidi kuliko wa Dar?

    Hili linanishangaza sana! Kutana na mtu wa Arusha au moshi umsikie anavyoponda Kanda ya Ziwa na mikoa mingine. Nenda Ruvuma ukutane na mhehe umsikie anavyoponda Ruvuma. Nenda kusini ukutane na mwalimu ajira mpya kutoka kigoma au nzega huko na aliyeisotea ajira kwa miaka mitano huku macho...
  5. W

    Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    🤣🤣😀🤣🤣🤣🤣 Lakini anachukua likes kibao na kupambwa juu
  6. W

    Wengi tulipoambiwa yuko kwa KAZI MAALUM hatukuelewa, ila kwa huu mtiririko hapa chini tutamwelewa vyema aliyetuambia hivyo

    Kwa akili hizi Acha tope la hanang liendelee kutuzoa. kumbe hivi ndivyo deni la nchi linavyoshughulikiwa? Ndivyo diplomasia ilivyo?!!! Kweli niko mbali na dunia.
  7. W

    Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

    Sentensi hiyo ndo nafikiri iliyobeba uzito na ndo lengwa haswaa la thread yako, ngoja tuone!
  8. W

    Putin atua Saudi Arabia, aongozwa na ndege 6 za kijeshi

    Mwamba Putin, the strongest man in the world right now!!
  9. W

    Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Ngoja ncheke mie, Kwihi kwihi kwihi kwihiiiiii!
  10. W

    CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

    Mh! Mhuu! Ohoooooo!
  11. W

    CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Msemaji wao, mtoa mapichapicha yao humu amevamia pia suala la mpango lakini nalo limebuma kama hayo mengine. Tukiweka unyumbu pembeni, umeongea kitu sahihi kabisa!
Back
Top Bottom