Recent content by Whitesmith

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Mapambano ya Kikatiba: Tunapojifunza Sheria, si Kusikiliza Kejeli za Mawakili wa Serikali

    hii kesho inaonesha wazi wengi wanaofungwa jela ni either wamelazimishwa kukiri makosa au wamehukumiwa kinguvu kwaHakimu na serikali kutafsiri Sheria wanavyotaka wao, sivyo inavyotakiwa
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    ahsante
  3. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    sawa uko sahihi
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Maduara ya dhahabu unayajua? mashamba unayafahamu?
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    kwa wale wenye kumbukumbu Wenje alitangazwa Mwanza baada ya wananchi usiku kuanza kuchoma ofisi za CCM sawa sawa na Mbeya na Arusha...haiwezekani Viongozi wa serikali za mitaa na vitongoji hatukuwachagua watuongoze, labda wakaishi Polisi
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    hapana nakataa watu hawajawa organized, BAVICHA wanafanya kazi gani ground? Mahinyila atuambie harakati gani za kimya kimya zilizoanzisha kuwasha moto? vipi kuhusu BAWACHA? Vipi Viongozi wa majimbo? nauliza Mmasai walijikusanya tu bila kuwa organized? Viongozi wawe tayari kufanya harakati za moto.
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Ni kweli, Hawa jamaa wanapooza harakati, yaani Wamasai wamejua kupigania ardhi Yao kwa maandamano na mgomo. Kwanini wasijifunze kule iwe serious case study tuma watu ujue wanafanyaje, alafu waje na mkakati. Lissu atashangaa mpaka anaachiwa hatujawahi kuaandamana kumdai aachiwe, we aren't such weak.
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Kila siku Heche anarudia maneno Yale Yale "tukipewa nchi tutafanya a, b, c... mara wekeni fair environment tupige dakika tisini" CCM siyo wajinga wanatumia Dola kubaki madarakani....Heche, Heche Heche njoo na mkakati hatuutaki kulalamika tumechoka
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Acheni wekeni silaha zenu chini, maskini kugombanishwa na tajiri ili aendelee kuwanyonya siyo sawa, tuungane tuunganishe nguvu zetu
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Je, tusubiri huruma ya JWTZ na TISS? kama wao washakuwa sehemu ya uzalimu itakuwaje?
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Bora, kuliko kudanganywa for 20Yrs...
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Ahsante
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa hili CHADEMA chukueni hatua nyingine

    Habari ya Leo GT. Kwa hili CHADEMA CHUKUENI HATUA; 1: Kesi hizi zilitengenezwa ili muanze kuhangaika na muhimili wa mahakama, Je nia yao ni nini? a: Kupunguza pressure mtaani b: Kupunguza mzigo kwa CCM c: CCM na watu wao kujificha katika muhimili mwingine, ionekane ya kwamba...
  14. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

    Mungu tunakuomba nauangaze nuru yako ya haki na utuimarishe sisi Watanganyika wengine tuwe na moyo mkuu kama wa mtumishi wako Lissu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Muachieni Tundu Lissu. Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli

    Mwamba (mtuhumiwa) kaahirisha shauri kwa niaba ya hakimu. hiki kipengele kilinifurahisha mnooo japo ninahuzuni nilicheka kama fala. May 6 nilipandisha Uzi humu "LISSU AJITETE MWENYEWE"
Back
Top Bottom