Recent content by whitehorseV

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

    Bora ule Mboga za majani uraiani kuliko wali na nyama jela
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

    Kabila moja linaitwa TABIA
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Matumizi ya Tochi: Tutarajie Ajali Nyingi Barabarani

    Dah sijui itakuaje
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

    Hata akirudisha haina thamani ya 13m iliyomtoa jela
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wanaume-Je ni kitu gani kinawavutia kwenye hii picha?

    Lile kabati nyuma pale
  6. W

    JamiiForums Tanzania Hizi tetesi ni kweli kuhusu Nyerere?

    Itakusaidia nini wewe mshukuru kwa uhuru
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

    Uchafu wako peleke Watu wa mila zenu.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninawauliza Swali: Eti Kuna mama wa kambo mzuri duniani? Ninawaombeni munijibu swali langu

    Inategemea wapo lakini
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Kizuri kula na nduguyo. Endelea kumzungusha hili sie tumpate
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawahurumia Wanaume wenye Sura Mbaya sana

    Hakuna mtu mbaya Duniani. Kila mtu ameumbwa kwa makusudi ya mtu fulani. Kwa mfano sura yako hata wazazi wako waniongezee na hela. Siwezi kuwa nawe
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nianzie wapi?

    Amini maneno yangu msamehe kwa roho nyeupe Haji rudia Tena. Mimi yalinikuta yako na tulikuwa na watoto wawili.
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe ana mtoto nimemuacha na nimemfukuza

    Sasa utakuja kuoa mwanamke aliyekubuu kutoa Mimba. Au kuchomekewa mtoto.
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mbona wanawake siku hizi wamekuwa na makalio makubwa?

    Mbona rahisi. Kuna style inaitwa popo kanyea mbingu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Angalia Vizuri ni namba gani unayoiona hapo? kwenye kijani?

    Nimeona 94, 74, 24
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mgeni Shinyanga mjini, usilale Buchosa guest house inafuga vibaka na majambazi

    Leo nimefikia Hapa, Hawa madada poa wapo ila leo atakaye jilengesha na Fila, huku nikiwa subiri vibaka
Back
Top Bottom