Hata mimi najisikia kama wewe isipokuwa kipengele cha kuhisi najua kuliko binadamu wote,hakuna anayejua kuliko wote,start feeding your ego that! Kuhisi unajua kuliko wote ndio kutojua kwenyewe.
Vitendo vya aibu vinaleta balance katika utu na kuheshimiana na kuonyesha binadamu wote ni sawa, imagine wafu fulani fulani wangekua hawajambi wala kunya ingekuwaje? Au ikifikia level fulani ya umaarufu au pesa hujambi ingekuwaje? Mungu fundi bwana,.. tujambe tu wote ili tuheshimiane
Watoto ukitaka wakudharau na kukutenga wakikua basi mtese mama yao, ujanani hukujali wanao waliishi vipi ni kutoka alfajiri kurudi usiku wa manane uko bwax na matusi ovyo ovyo leo umezeeka watoto wakupende hiyo vipi?? Hawakukuzoea tangu watoto ukubwani watakuwaje close
Nahisi watu wa mitandao ni wezi na huwa wanasikiliza maongezi yetu, mimi hutokea mara nyingi nikiongea na mtu kuhusu kutuma hela lazima msg ya Tuma kwenye namba hiii ije. Kuwa muangalifu ikiwezekana piga simu hata mara3 uhakikishe aliekutumia msg ndie?? Mpigie kwenye namba yake sio hiyo ya msg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.