Recent content by WHITE HOUSE

  1. WHITE HOUSE

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Muda si mrefu kuanzia leo JPM ataweza kupangua baraza la mawaziri baada ya kujionyedha kuna baadhi yao hawaendani na falsafa yake, Kwa taarifa za ndani zinasema atakayemfuata Kitwanga kwa kupigwa chini ni waziri wa mazingira ofisi ya makamo wa Rais January makamba, Hii inatokana na habari za...
  2. WHITE HOUSE

    Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Muda si mrefu kuanzia leo JPM ataweza kupangua baraza la mawaziri baada ya kujionyedha kuna baadhi yao hawaendani na falsafa yake, Kwa taarifa za ndani zinasema atakayemfuata Kitwanga kwa kupigwa chini ni waziri wa mazingira ofisi ya makamo wa Rais January makamba, Hii inatokana na habari za...
  3. WHITE HOUSE

    Bunge live njiani, Kitwanga afungua njia

    Sasa ndo naanza kupata jibu la pili ni kwanini wabunge walipenda bunge lisionyeshwe live, Spika wa bunge amesikika akisema tusishangae ulevi tuu hata madawa ya kulevya na bangi inatumiwa sana humu bungeni, Hii ni dhahili sana maana ndo maana tulijionea asilimia kubwa ya wabunge wakipiga...
  4. WHITE HOUSE

    Makomando wa JWTZ wawazima Al Shabab, Watumia dakika 180 kuwanasa wote

    Tatizo humu JF Sasa hivi wamejaa form four ambao hawajui nn maana ya kuleta mada, wanakimbia asubuhi mtaani na kupiga picha na kuweka tangazo badala ya kuweka mada yenye uchambuzi, mod kuna umhimu wa kuweka kigezo cha umri kuanzia 30 ili uweze kuleta mada na kuchangia, tofauti na hapo uwe...
  5. WHITE HOUSE

    Kenya yaagiza treni 56 kwa ajili ya SGR

    Kaka sifa zingine za kijinga hazifai, Train 56 halafu unajifanya sio mjinga kwa kulazimisha eti haujakosea,, yani hata wakenya wenzako wanakushangaa kwa jinsi ulivyowazidi uongo kupita kiasi, Hata Uingereza hawana Train 56 zaidi ni Train zinazotumika kwenye njia kuu tuu pengine ni mabus yaendayo...
  6. WHITE HOUSE

    Rais Magufuli, kuna mkakati wa bunge kukuhujumu kupitia kuhariri bunge

    Katika viongozi ninaowakubali duniani kwa Sasa sitosita kulitaja jina la Dr John Pombe Magufuli, ni kili katika uchaguzi Mkuu uliopita Magufuli hakubahatika kupata kura yangu huku nikijua asingeweza kubadili taswira ya viongozi kujilimbikizia mali, viongozi kutumia mamlaka yao kuwadharau...
  7. WHITE HOUSE

    Wabunge CCM kumpigia makofi kitwanga kipindi anajibu swali ina maana gani

    Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga kabla hajafukuzwa uwaziri alikua akipigiwa makofi na wabunge wa CCM ndani ya bunge wakati akijibu swali aliloulizwa huku akiwa amelewa, Najiuliza maswali mengi sana kuhusu waziri Huyu kupigiwa makofi wakati inaonekana hakuwa anajibu swali...
  8. WHITE HOUSE

    Je debe moja la dagaa lina kilo ngapi?

    Wakuu napenda kufanya biashara ya dagaa wa Mwanza, Lakini naomba msaada kwa anayejua debe moja la dagaa wakavu wa mwanza lina kg ngapi? Maana natarajia kuwauza kwa kg
  9. WHITE HOUSE

    NSSF na PPF Buildings Old Moshi road, hakuna wapangaji

    JPM aliwambia badala ya kujenga majengo ambayo hayana faida wajenge viwanja vya kuzalisha bidhaa ambapo watajiongezea wanachama kwa kuajiri na pia watafanya biashara kubwa,,
  10. WHITE HOUSE

    Friji mpya na sofa mpya zinauzwa bei nafuu

    Kuna friji Mpya na sofa Mpya zinauzwa bei nafuu kabisa kulingana na ubora wa vitu vyenyewe, mwenye nazo anahamia mkoa, vipo tabata Vyote vya kisasa. Bei njoo 0759501127
  11. WHITE HOUSE

    Sofa mpyaa ya kisasa inauzwa bei nafuu

    Sofa ya watu 6 Mpya inauzwa bei nzuri, ni new model, bei ni 800,000/= maongezi yapo, imetumika miezi miwili tangu inunuliwe, anayeuza anahama kikazi hawezi safiri nayo kupunguza gharama. Iko Segerea mwisho kwa mawasiliano 0759 501127.
  12. WHITE HOUSE

    TRA Lindi yagawa tani 133 za sukari iliyoingizwa kimagendo

    mwalimu nyerere aliwahi sema '' ukila nyama ya mtu hauwezi kuiacha '' Hivyo ndivyo hawa wafanyabiashara wa Tanzania walivyozoeshwa kufanya biashara za ujanja ujanja pasipo halali, kuwauzia watz sukari iliyoisha muda wake huko nje na kujipatia faida lukuki huku serikali ya Kikwete ikiwaangali...
Back
Top Bottom