Bunge live njiani, Kitwanga afungua njia

Bunge live njiani, Kitwanga afungua njia

Amekufa kwa kukonda saana na kualisha nafikir na presha pamoja na sukari lakini sio ukimwi namtetea sio ukimwi nani amethibitisha
Kaka sio napingana na wewe kuhusu ulevi ila nilikuwa naomba uthibitisho wako kama unao kuwa jamaa alikuwa kalewa,
hivi hakuna mtu anayeweza kujifanya kalewa na ikaonekana hivyo?, kulikuwa na mwanamuziki hapa Tanzania Marehemu John walker nadhani amefariki miezi michache iliyopita ukimsikiliza akiimba unasema kabisa jamaa kauitwika ili hali jamaa hagusi kabisa ulevi

Kitwanga alipimwa na alcohol tester ili kujua alikuwa kalewa?, kipimo kilionyesha ana kiwango gani cha ulevi?
Nyie wana CCM ni wajanja sana, ISIJE KUWA TUMEPIGWA CHANGA LA MACHO,
kWa
 
Wewe ligi za kijinga za nini? Kitwanga mwenyewe kakiri. Acha hoja za kipumbavu.
Wewe ulitegemea atoe kanusho kuwa hajalewa?, humu huwa hakuna hoja za kipumbavu bali ni watu kuwa na mitazamo tofauti tu, kaa na msimamo wako nami na wangu
 
Sasa ndo naanza kupata jibu la pili ni kwanini wabunge walipenda bunge lisionyeshwe live,
Spika wa bunge amesikika akisema tusishangae ulevi tuu hata madawa ya kulevya na bangi inatumiwa sana humu bungeni,

Hii ni dhahili sana maana ndo maana tulijionea asilimia kubwa ya wabunge wakipiga usingizi bungeni badala ya kusikiliza na kuchangia hoja, ni dhahili Sasa hawakupenda kumilikwa na kamera huku wakiwa wamepiga bangi, na madawa ya kulevya na pombe,

Kitendo hiki cha kutoonyeshwa live wamekipenda sana ndoo maana hata Waziri Kitwanga aliamua kunywa viroba huku akijua kamera hazionyeshi kwa wananchi.
 
mpaka bunge limebakiza mwezi kwisha mzungumza hayo tu .wahusika washawekaga pamba masikioni muda sana
 
Sema wabunge wa ccm usichanganye wabunge wote, ni sawa na kusema mbuzi na kondoo wote ni kondoo
 
Back
Top Bottom