jamaa mmoja alichelewa kuamka kwenda kazini,,
ivyo alipokuwa njiani akiendesha gari kuelekea kazini,, ilibidi aandike msg kumtaarifu boss wake kuwa atachelewa kufika ofisini,, sasa alipomaliza kuandika msg,, akaandika na namba ikabaki kusend,, kabla hajasend dirisha likiwa wazi akatokea kibaka...