Recent content by WHERE TO TURN

  1. W

    Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

    Mleta uzi ni nyumbu unaezaa centimeters chache kutoka umbali alioko simba, atakutafuna tu penda usipende..nyang'au mkubwa wewe, wahedi kwabisa..nyambafff...katishie familia yako huko mashenzini..
  2. W

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Nashauri Tumaini Makene, uwe na tabia ya kua nasubira ya kupata habari za uhakika..unatuaibisha makamanda, tunaonekana wazee wa sanaa kwa sababu ya haraka yako ya kutoa habari.Ila tunaamini ni matatizo ya mitambo ya ITV ambayo iko nje ya uwezo wako..but ni vyema kuwajuza watu kuliko kukaa kimya.
  3. W

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Chadema tunakupongeza sana JK kwa kujitahidi kutekeleza ahadi yako ya kuiua CCM kabla ya 2015, tulidhani unatania kumbe uko serious. .kwa style hii ya kauli ya kuhakikisha CCM unawapoteza njia nimeikubali, makubwa jinga ya CCM yatakuja kwa raia kupiga piga ovyo alafu wananchi wakose nao imani...
  4. W

    Lema akamatwe na kushitakiwa kwa kosa la UHAINI!

    Chris Lukosi, tafuta size yako..usiwe kama baby madaha kwa diamond platinumz, unatafuta kick ya kisiasa kupitia wenzio..you know exactly where to report your stupidity then unaleta huku JF..tafuta mashoti wenzio ila sio Lema, he is of another level.
  5. W

    Rais Kikwete, mbona umeamua kuangamiza Taifa? - LEMA

    Jk anajaribu kuwatisha wana CCM wa Kalenga, hii inatokana na ujinga na ubabe wa CCM kurithishana madaraka..does it mean watumishi wa CCM kalenga miaka yote hiyo mliokitumikia chama mmekosa mgombea kiasi cha mjukuu wa miaka 32 kuwaongoza au mmelazimishwa tu kwa sababu mnawaogopa maboss zenu..any...
  6. W

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Joyce Kiria jamani amemzalilisha sana Henry Kileo..alishindwa nini kikaa chumbani na mme wake wakayajadili hayo mambo alafu akayaachia huko huko kwake...ndio naanza kupata uelewa kwa nini uliachika na mume wako wa kwanza..viongozi mashuhuri, directors, wanasiasa nk wanawashauri wao...
  7. W

    Mke wa Henry kILEWO(cHADEMA)Awapa SOMO MBOWE NA SLAA KUHUSU UONGOZI NA KUTUNZA FAMILIA

    Joyce Kiria huna tofauti na kuku aliyewekewa mahindi chini alafu bado anakwarua kwaru na miguu yake kucheki chini kuna nini zaidi wakati mahindi yako juu anayaona..ulishindwa kutumia intelligence na democracy kwa mume wako wa kwanza, sasa unajiingiza kwenye familia za watu...does it mean Henry...
  8. W

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Hakuna hata moja litakaloaminika...amechelewa sana..angeyasema akiwa chamani..hatutamtofautisha na Nahodha baada ya kutimuliwa uwaziri akaanza kubwabwaja pumba zake...poor zito go to babu momose cheo he might assist you..
  9. W

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Mkuu usisahau na wale wa singida, hawajalipwa hela yao ya mahindi waliosupply serikalini up to this moment..na serikali imegoma kurudisha mahindi ya wakulima wakayauze kwa masoko mengine at least wakulima wapate ada za watoto wao waliopangiwa shule za kata...
  10. W

    CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba

    Dah! Mkuu amepanic kishenzi...alafu kama vile yuko alone...ndio maana jasho linamtoka sana..jamaa amepanic mbaya...jamani magamba msaidieni huyu mtu atazirai kwenye keyboard yake..
  11. W

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Pole kwa ulimbukeni, na jitahidi usile ugali wa shikamoo..haujui hata umeme wa ten thou ulikua ni 18 units, wewe unakazana kusema amefuta 2 hapo kwenye receipt..poor you, mwambie baba akufukuze nyumbani ukajitegemee pengine utajua bei za vitu..
  12. W

    Bongo movies...

    Jamani although am late, ila nimecheka mpaka basi...kuna moja niliangalia jamaa akawa anataka kumuambia mwenzie unafanana na kababu kazee.."hey you look like a grandfather" na movie nyingine eti mtu anaamka asubuhi from bead (ki movie movie sasa) kajiparaaaaa domo limejaa makeup utadhani...
  13. W

    Zitto aamua liwalo na liwe juu ya mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi

    ZZK tumia strategy za mamvi..be silent and find another wayforward cause currenty you are politically dead..
  14. W

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    Chabruma na mwenzio mtasubiri sana...hata mwalimu alishatabiri kifo cha CCM, among the great mistakes ccm mtakazozijutia ni kua na gaidi Mwigulu, mtalikumbuka shuka kukiwa kumekucha...
Back
Top Bottom