Recent content by whatsup

  1. W

    Wanaohitaji vitabu vya kusoma: IT/Programming/Android/Web Development n.k

    Kama unashida na kitabu chochote kile cha Kiingereza lugha na hasahasa maswala ya IT lakini pia na mambo mengine, wasiliana na mimi kupitia inbox yangu, NOTE: PDF format only! Bei kuanzia 2000 nakuendelea kupitia PAYPAL, mobile money kama M-pesa, AirtelMoney au cash. Wenye kiu yakusoma kazi...
  2. W

    Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

    Linki hii hapa POULTRY PRODUCTION MANUAL : CodeBrain, Projects for codeBrain
  3. W

    Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

    we zigoogle tu, nasaidia watu wenye nia we endelea kupiga mfagio mtatawali mpaka vichwa viote upara.. kudadeki!
  4. W

    Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

    we zigoogle tu, nasaidia watu wenye nia we endelea kupiga mfagio mtatawali mpaka manyuma kwenu.
  5. W

    Nafasi ya kazi kuwa moderator wa website, tupo Ujerumani!

    Tunahitaji mtu mchapa kazi mwenye uwezo wakuelewa mambo haraka clients wetu ni Watanzania so awe na communication skills nzuri. Malipo makubaliano na yatapanda kulingana na juhudi. Niinbox kama una computer na internet yakuaminika!!
  6. W

    Magufuli Jembe lakini chama alichopo ndio shiiida!

    magufuli siamini kama ataweza kuzima vumbi la rushwa lazima mparakano wa viti ufanyike ndio tuanaweza kuyaona mabadili, watu wenye fikra tofauti hatakama hawana uzoefu kujifunza kwao ndio mwanzo wakufukua uozo uliowekwa na ccm miaka nenda rudi. Watu hawapendi mabadiliko lazima mjue hilo jamani...
  7. W

    Ufugaji wa kisasa ni dili, kwa wale mnaotaka kujua taratibu na kanuni za kufuata A to Z

    Nimeishi Ulaya yapata miaka 9 kwa sasa, nimefanya kazi mbalimbali mpaka mashambani kufuga na kulima, mkulima ulaya nika unavyomsikia baresa mengi na matajiri wengine bongo, asikudanganye mtu. Nilipata kuiba taratibu wanazo zitumia kufuga kuku na wanyama wengine kuanzia kujenga banda, kulisha...
  8. W

    Hivi ni kweli kuna wanawake wasiofika kileleni hata wakutane na nani?

    Naombeni kusikia kutoka kwenu wadau, Maana kuna mtu tulikua tunabishana sana kuhusiana na hili jambo lakini hatahivyo alinipa references fulani kutoka kwenye internet wazungu wanavyosaida wanawake ambao hawajawahi kufika kileleni au kupata aina zote 13 za vileleni kila aina na video yake...
Back
Top Bottom