magufuli siamini kama ataweza kuzima vumbi la rushwa lazima mparakano wa viti ufanyike ndio tuanaweza kuyaona mabadili, watu wenye fikra tofauti hatakama hawana uzoefu kujifunza kwao ndio mwanzo wakufukua uozo uliowekwa na ccm miaka nenda rudi. Watu hawapendi mabadiliko lazima mjue hilo jamani, mabadiliko yakuja kutakavyokua na chama tofauti na taratibu zao. Usauri tu!