Nadhani huna taarifa sahihi kuhusu hicho chuo. Mpaka sasa DIT sio chuo kikuu bali ni taasisi inayotoa elimu ya ufundi na uhandisi (technical & engineering education).., wakati inaanzishwa mwaka 1957 Tanzania haikuwa na chuo chochote kilichokuwa kinatoa kozi ya ufundi. Ndo maana ikaanza kama...
Mfalme Daudi alikuwa mtumishi wa Mungu na Mfalme wa Israel (utumishi wa kisiasa); Na hivyo kwa Suleiman na hata akina Eliya waliokuwa manabii per se waliingilia na kukemea maamuz ya viongoz wa kisiasa hadi kufkia hatua ya kuwindwa kuuawa.., Soma vizuri Biblia utaelewa ndgu..!
Mkuu nafuatilia thread zako kuanzia kwa britanicca na sasa kwa Lisu, lakn hapa umenichanganya. Hivi inawezekana akina Zitto na Kafulila wakalaumiwa kwa wale wazee kusota rumande..?
Na je, katk hiyo pesa ya escrow hakukuwa na madai yoyote ya kodi ya serikali ambayo yalitakiwa kuwa settled baada...
Watalii wengi wanaotembelea Serengeti wanafkia hifadhi wakitokea Mwanza au Arusha na sio Musoma. Pori la Burigi limeungana na lile la Biharamulo ambalo limebadishwa mipaka na sehem yake iko Chato kwa sasa. Hivyo, inawezekana hata kuitwa Hifadhi ya Chato na ikaleta maana.
Pia, ndani ya pori la...
TRA na Polis kwenye Elution..? Unayo plant wewe huwa wanakuJa TRA na polis au unasikia hadith za viJiwen. Maafisa wa TMAA wao wanakazi gani au lini sheria ya madini imebadilika..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa..! Hilo gazeti nalo mbona kituko. Dhahabu ya 3Trn itabwebwa kwa gari ndogo..? They cant be serious. Yani wandishi wetu ni shida. Mtu haJui hata kujifunza hataki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni bei ya Gram. KG ni habari ndefu acha kabisa. Utaratibu wa kununua dhahabu ndo ulvo wala cdhan kama hao wahindi wanaJipya wamefanya. Wakiwa-harass hao wahindi utackia kilio cha wachimbaJi wadogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan wewe ni Engineer au uko kwenye industry na hivyo unaweza kuJadil kwa facts kulko wengi humu. Ni wachache wanaweza kukuelewa lakn usikate tamaa..!
NduGu yangu sijui kiwango chako cha elimu lkn ktk hik ulchochangia ni wazi hujui vigezo vinavyotumika ili kiwanda kijengwe mahal fulan..! Moja ya kigezo kikubwa ni upatikanaji wa malighafi... Hivyo ni muhim kuwekeza ktk kilimo na viwanda vitajileta vyenyewe kufuata malighafi.
Wakati mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.