Jaji amefanyakazi miaka 40 serikali, amestaafu na mafao yake amepata kwa bahati mbaya (nasema bahati mbaya kwa sababu wastaafu wengi hawana msaada kwa taifa wanapoteuli baada ya kustaafu ) kuwa mwenyekiti wa bodi fulani au tume ya uchaguzi au hata ka ukuu wa wilaya anaonekana kuwa mwoga kazini zaidi ya walioanza kazi fresh kutoka vyuoni. Tujiulize hawa wanamatatizo gani. Je kweli ni uoga wa maisha? Kifo tunasema hujui uendako je kufukuzwa kazi wakati ulikuwa umeshastaafu ni jambo la kuhofia?
Wako wengine kwenye mashirika binafsi walishafanya kazi serikalini kama wakurugenzi, makamishina, wakuu wa idara sasa wamestaafu wamepata kazi kwenye NGOs, yani waoga, wanafiki kwa kuogopa kufukuzwa. Wengine wanavyotetemeka kwa mabosi wao utafikiri ameambiwa kesho bado sekunde ufe labda hata timiza malengo yake kumbe anaumri wa miaka 70!!!
Watanzania tunashiga gani!!