Tumwone Membe akichapia mbele ya press

Tumwone Membe akichapia mbele ya press

Ha ha! Mkuu usinivishe joho nisiloliweza huyu mama nilimpenda wakati wa kampeni 2015 alivyokuwa akigombea urais kwa tiketi ya ACT binafsi alikuwa anajibu hoja vizuri hicho ndo kilifanya nimpende fatilia midaharo mwaka 2015.. usiwe mwepesi kuvika mtu joho kiivyo we kalili hai kina polepole wako.

Mkuu nimekusoma.
 
Ha ha!
Huyu jamaa mi napata shida na body language yake haswa akiwa anahojiwa na vyombo vya habari!!.

Hamna kitu hapo japo act wanasema wameokota lkn naona wameokotwa..

ACT nilimpendaga mama anna mgwira tu hawa wengine neyo gete..
Yuko wap kama nae sio wale wale?
 
Back
Top Bottom