Habari wadau wote wa usafiri. Natafuta engine kwa ajili ya kufufua pikipiki yangu. Sinoray 150 au 180 naielewa zaidi. Isiwe timing chain. Tafadhali tuwasiliane 0754004189
Wiki Moja iliyopita NILILIPIA BIDHAA kutoka Amsterdam mtandaoni, lakini KIASI kama KILE nilicholipia wamekishikilia. Yaani sitaweza kutoa eti mpaka wakamilishe muamala kwa upande wao huko (Kwa mjibu wa CRDB huduma kwa wateja) Naomba kujua yafuatayo:
1. Wote mnaolipia BIDHAA MTANDAONI mnakutana...
Habari wataalamu wote. Kuna mfumo unaitwa STUDENTS INFORMATION SYSTEM (SIS) Unaoweza Kuwa na features kama vile;
1. Students admission
2. Staff management
3. Classroom management
4. Communication (SMS)
5. Parent management
6. Online admission
Mwenye nao Tafadhali tuwasiliane 0754004189
Habari wadau na wataalamu wa masuala ya software. Mimi ni mwalimu ambaye natafuta Online Examination Software kwa ajili ya wanafunzi wangu kufanya test/mitihani online kwa kutumia Simu au tablet za ndugu zao muhimu TU awe na account yake baada ya kusajiliwa.
Mwalimu aweze kuandaa mitihani ya...
Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi
0621538913
Mshahara Mnono mnoo.
Karibu sana
Habari wadau wote wa JF. Binafsi Niko kwenye maandalizi ya KILIMO Cha UYOGA. Hivyo nataka nianze kidogo kwa ajili ya familia. Nimesoma na kuangalia kwa umakini kabisa, Nataka nianze kwanza kwa ajili ya familia.
Changamoto kwangu ni upatikanaji wa mbegu. Tafadhali mwenye ushauri huu ya hili...
Natumia TCB Popote App. Tar 01/07/2023 nililipia bidhaa fulani kutoka benk kwenda mtandao wa Tigo. Ikaonesha kuna Shida ya mtandao na kunidokeza nijaribu badae. Baada ya Saa moja hivi, nikajaribu ikaonesha kuwa salio langu halitoshi. Kicheki balance kiasi nilichotoa mara ya Kwanza kimetoka...
Habari.
Mtaalamu wa kutengeneza lesson plan forms ambazo walimu wa shule X watakuwa wanajaza online na kuweza kuprint (PDF) tafadhali tuwasiliane. 255621538913.
Pia inaweza ikawa application.
Heshima kwenu wataalam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.