Wana jamvi mtanisamehe. Kuna kitu kinanikera kuhusu Timu yetu ya taifa, aka taifa stars. Ni mda sasa hatufanyi vzr kweny mashindano ya kimataifa, tunashindwa hata na mataifa jiran kama Kenya, uganda,Burundi, DRC Congo, na wengineo. Hivi tunakwama WAP sisi maana ukiangalia hayo mataifa...