Recent content by weraufo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo: ACT - Wazalendo sio mazuzu wa kususia Bunge

    Huyo kweli ni professor, anyetukana na kutumia lugha ambazo sio za kiistaarabu, mimi singependa kuongelea yaliyotokea bungeni kwasababu sio mwanasiasa, ila kama kuna na makosa yeyote yaliyotokea, ni vizuri wasomi wakajaribu kurekebisha na kuelewesha kwa lugha nzuri na za kistaarabu, ila...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na majibu mepesi kwenye maswala mazito

    Tatizo la Watanzania walio wengi wamekuwa hawachukulii mambo kwa uzito unaostahili, pale tunaposhindwa kuchukulia mambo kwa uzito wake, na kuanza kuyatolea majibu ya bila kufikiri, tunakuwa hatujitendei haki, hili swala la Tume ya Uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya urais wa Zanzibar sio haki...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    wao wanekwenda kutoka na walivyokubaliana na NEC
  4. W

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Kwani waongeaji wamelifanyia nini taifa? sisi hatuitaji ngonjera, tunahitaji wachapa kazi.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Kwani kampeni za ukawa zinaaza lini? maana wamesema wana anza jumamosi tarehe 29, kwahiyo wanacho kifanya dar ni sawa, mpaka baada ya tarehe 29.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Mtaongea kila kitu, tumeshawazoea, mbatia amewajibu, na huko kuongea kwenu ndio kutapelekea Ukawa washinde, vituko vyenu nyakumzuia Lowasa, vya kupeleka watu magereza, maana kama ni lugha chafu, mbona mkapa alizungumza lugha chafu? ndio ule usemi wakifanya wao ni mazuri, lakini wakifanya wale ni...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Akiongea LOWASA mnajiuliza, Je Magufuli anavyosema kwamba atatatua shinda za watanzania na kwamba anazifahamu, hizo shinda amezijua leo?
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tundu Lissu: Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa CHADEMA na UKAWA

    Watzd na siasa za maji taka, kila mwana ccm anataharuki, ccm hawa amini kilichotokea wanaona kama ni movie, walichezea shilingi karibu na tundu la choo, sasa imetumbukia, wanahaha huku na kule, kawada tunasema majuto mjukuu, na sio masihara neno hili, sasa wasubiri real movie hapo october, ccm...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Askofu: Serikali ya CCM ilikabidhiwa kwa mizimu wakati wa Uhuru na Nyerere

    Anachoongea Askofu ni jambo jema, wala hajesema kwamba waislamu walihusika au la, lakini anachokisema ni kwamba lazima tumrudie Mungu, kwa sababu taifa liliingizwa kenye mambo yasiyompendeza Mungu, na kumrudia Mungu sio kuona kazi zake tu, ni kujua na njia zake pia, kwahiyo pale tunapojitambua...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watanzania wanamuhukumu Lowassa?

    Hivi baadhi ya watanzania ni kwamba wanamchukia tu Mh. Lowasa kwa sababu zao au wanaogopa utendandaji kazi wake? Mh Lowasa ni mtanzania na binaadamu kama mtu mwingine yeyote yule ambaye ni mtanzania na binaadamu, watanzania wamekuwa wakimuhukumu huyu mzee na kujisahahu kama wao pia ni binaadamu...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    Nimependa hii, imekaa vizuri na hii ndiyo itakuwa pona ya ccm, kwa staili hii watashinda uraisi lakini ubunge wasahau.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kinana ndani ya Karagwe, Azungumza na wananchi kuhusu mipaka ya Tanzania na Rwanda

    Marire nimependa hiyo, mwaka huu ipo kazi, sijui watakimbilia wapi.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya madereva kugoma, sasa ni zamu ya waongoza watalii

    Viashiria hivi ni vibaya, na utalii ni jambo ambalo lina athari kubwa kwa nchi, sijui mwisho wake, lakini tunaelekea kubaya.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Rostam ameanza mkakati wa kuwanunua wajumbe wa NEC ya CCM ili kumuunga mkono January Makamba

    Jamani angalieni cha kuongea, of all the people makamba, bora ungesema E.L
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti hii, Sasa naamini Tanzania ni kifaranga kwa Kenya!

    Haijafika hata nusu ya Bajeti ya Kenya, tunajitetea ya kwamba Dola imeathiri shilingi Yetu, Hata Kenya Dola imeathiri shilingi yao, lakini uchumi wao unapaa, we need a change, lasivyo tutabaki tunaadithia tu.
Back
Top Bottom