Ukiona mtumishi wa Mungu anaacha kufanya kazi yake ya msingi ambayo ni kueneza neno la Mungu; na badala yake anaongelea na kukosoa watumishi wengine muogope kuliko njaa
Ndugu watanzania wenzangu, naomba tuwe makini sana na mchakato wa katiba kwani ndio hatima ya taifa letu kwa miaka mingi ijayo. kwa sasa jambo linalojadiliwa sana ni aina ya muungano au muungano uwe vipi.. hoja hii imeteka akili za watanzania wote.
binafsi naona tungefikiria mambo ya msingi...
ni kwelph mahakama ni muhimili wa dola ambao ndio una wajibu mkubwa wa kutoa haki kwa jamii.. najiuliza mahakama itatekelezaje wajibu huo wakati yenyewe haipo huru? uwepo wake unategemea serikali muhimili mwingine wa dola.. mahakama ipo chini ya wizara ya sheria kwa mujibu wa sheria.. tupiganie...
ee Mungu wetu najua unawapenda watanzania ni wewe tu unayeweza kulinda kura zetu zisichakachuliwe watanzania tuombe ccm wapigwe upofu wasione kura zetu dr huree huree
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.