siku ya sheria nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

siku ya sheria nchini

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Werankira, Feb 2, 2011.

 1. W

  Werankira Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwelph mahakama ni muhimili wa dola ambao ndio una wajibu mkubwa wa kutoa haki kwa jamii.. najiuliza mahakama itatekelezaje wajibu huo wakati yenyewe haipo huru? uwepo wake unategemea serikali muhimili mwingine wa dola.. mahakama ipo chini ya wizara ya sheria kwa mujibu wa sheria.. tupiganie mahakama huru kwa kuleta mapinduzi ya katiba.. tuamke watanzania!
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hapa ndipo pa kuijadili do...........wans
   
Loading...