Recent content by wepson

  1. wepson

    Nimwambie ukweli wife au niendelee kushikilia msimamo wangu?

    aisee, vijana tunapitia mambo mengi sana
  2. wepson

    Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

    ndugu hyangu unamoyo wa kioekee sana, hivi vitu sijawahi tabasamu navyo asije msichana akacheza huuujinga ni siku moja tu mahusiano yataenda likizo
  3. wepson

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    unaakili sana wengi hawatakubaliana na ww
  4. wepson

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tatizo Tunaamini habari zinazoandikwa na google bila kujua hawa wanaomiliki mitandano ni washirika wa Marekani na NATO, kipigo amabacho kinaendelea huko ni kikali sana ndio maana Marekani wala nchi yeyote ya Nato haijaenda kule directly , wanasingizia kuwa UKREIN sio mwanachama wa nato bado...
  5. wepson

    Nilichomfanya X wangu sijui huko alipo atakuwa anajisikaje

    hatari sana ndio hawa ndugu zetu walivyo Kuna mwingine nilikutana ane humu, akawa na drama sana , mara aseme maisha ya kujibana hawezi. siku si nyingi nikiwa safarini anasema hataweza kuishi na mtu amabaye anasafiri kikazi marakwa mara. Siku chache baadae akawa kuna jamaa mmoja ofisinin kwako...
  6. wepson

    Kamwe usije ukajaribu kushindana na mwanamke, utaumia

    kazi mnayo wanawake sikilizeni mipango hiyo
  7. wepson

    Delivery Assistant Post

    Phomas Diagnostics is a private medical device and Laboratory product distribution company registered on 2018 under the Companies Ordinance Cap 212 and issued with a Certificated of the Incorporation No. 137023083 of even date. Phomas Diagnostics is an entirely Tanzanian private limited...
  8. wepson

    Administrative assistant Job post

Back
Top Bottom