Kamwe usije ukajaribu kushindana na mwanamke, utaumia

Unashindanaje na kiumbe ambae hajui anahitaji nn kweny maisha yake, unampa pesa vzr anachepuka na muuza mishkaki, ukiuza mishkaki ili ukimtongoza umpate hakutaki sababu unanuka nyama na huna ela. Mm sisumbuagi kichwa yangu kwa hivi viumbe
 
Hakika aisee ,hasa Hawa walioko vyuoni wanajikuta sijui akina Nan vile,mm huwa nawazoom tu.
Kuna manz yupo chuo fulan nikapendana nae tu from no where nikajikuta nazama kwake ,bac nikajipigia pigia kisela baadae yeye akarud chuo na mm nikarud zangu job maana tulikutana kipind Cha rikizo ,Sasa yakabak mahusiano ya mbal mbal ,tukaenda wee tukasogea mipango kibao kuwa akimaliza chuo nimuweke ndani.

Sasa vitimbi vilianza ,kwanza Hawa mabint Wana njaa na pesa Kama viwav jesh ,nilijitoa kwa chochote nilichonacho nacho had nikageuka Sasa Kama baba ake Mara Leo sijala Mara iki na hapo Ana boom lake fresh tu pia kwenye hela ya boom sion Cha maana anachofanyia kwao mwenyew njaa Kali balaa na sabab anakwambia hela nimetuma home Sasa najiuliza hela ya boom unatumaje home wakat ni ya kukusaidia ww Hana Cha kusema,pia ni Dem ambaye wasap yake imejaa sms za kukopa pesa kwa wanaume Mara niaze 50 ntakurudishia daah Kuna madem Wana njaa hii dunia sijapata kuona nikaona hapa hakuna mwanamke hapa ,ukimwambia Sina ananuna .Nikaanza kumpima Sasa akiomba hela hata km ninayo namwambia sina vumilia bac gafla akaanza kutojib sms zang Wala calls zang Mara akaniblock kila sehem Nan nikamkaushia akijua sijui ntahangaika nae.

Siku zikaenda Nam nikamblock kote ili tusikumbukane kwa lolote na hata Akini unlock akute na mm nimemblock ,alivyoona hivyo akafungua account mpya fb nashangaa kaniomba urafik kwa ujeur nilio nao nikamblock tena kwenye account yake mpya mpaka Leo sitak kusikia habar zake .

Nilishajiapiza siwez umiza kichwa kwa mwanamke mmoja wakat kila leo pussy zinazaliwa alaf Ni mbichi mno zenye mvuto alaf et nibabaike na mwanamke mmoja never.

Note:Hakuna mwanaume anaeanzisha mahusiano na mwanamke kwa lengo baya Ila tabia ndio zinamfanyamwanaume abak kwako au asepe na Mara nyingi madem wa kibongo ukiwaonyesha kuwa unawakubal wanageuza huo upendo Kama fimbo Sasa dawa ya Hawa madem wa Karne hii ili mwende sawa ni kuwa kauzu kimtindo yaan asijue ww Ni mtu gani Leo unakuwa romantic kesho uso wa dagaa

Duuh huyo demu wako nashindwa kumwelewa, anakupa papuchi huku anakupiga mizinga..maana nlivokariri, madem wanaoombaga hela sana hawatoagi papuchi, sijui kuna mwanaume gani atavumilia tabia ya huyo demu wako ya kuomba omba hela mbwe
 
Umenena kimamlaka boss!
Kwanza hakunaga kushindana na mwanamke, unashindana vipi na kiumbe ambaye ameshakuwa declared kuwa ni dhaifu kwako?!

Pili, mwanaume unanazaje kupata muda wa kubishana au kukinzana na mwanamke?! Kama akikuletea ngenga na vituko, wewe pita hivi achana nae wanawake wabichi wapo kibao ya nini unadeal na m'moja as if ni wa mwisho...?!

Mwache aende, ataringa lakinj hataringa milele. Women age with time and their demand fall and decline with time....

Atapigwa miti, atazaa, atachuja, urembo utaisha, atakuwa kama hawa wamama tunawaona huku mjini ambao hata akikupita haushituki....

Kimsingi urembo wake utaisha, maziwa yatalala, hips zitanyauka, atapunyuka hata ajirembe vipi hatong'aa tena, sasa wewe uhangaike na mtu ambaye kaumbiwa kuringa katika kipindi cha miaka 10 binti kuanzia 19 hadi 29 tayari habari yake inakwisha.....

Unapiga ukuni tokea 18 ukibalehe hadi miaka 80+ kama bado utakuwa unadinda.... Wanawake wamejaa tele, na unavyozidi kuwa mtu mzima ukiwa na pesa yako ndipo unazidi pata wanaokuvutia.... Ya nini kuhangaika na takataka moja....?!

Achana nae....
 
Umenena haswaa
 
Hizo league za nin sasa.
Tafuta toto piga mashine, piga mashine ukimchoka achana nae
Akikubwaga kisa hujui kuhudumia chukulia poa,
Endelea kutafuta michongo ya pesa.

Mkuu umeacha kuwa mchunga kondoo wa Bwana, nikategemea hapa ungeweka vifungu vya bibilia badala yake unamtaka jamaa atafute toto apige mashine
 
Eti anajifanya hajui
Anajifaraji tu huyo, wakati kuna Wazee kibao tu wameshamtongoza,sema anajifanya hajui Kama hao ni Wazee sema wako ndani ya Mkoko wa nguvu!! Na akili zake zinakua kwa Mkoko tu!!
 
Hakika aisee ,hasa Hawa walioko vyuoni wanajikuta sijui akina Nan vile,mm huwa nawazoom tu.
Kuna manz yupo chuo fulan nikapendana nae tu from no where nikajikuta nazama kwake ,bac nikajipigia pigia kisela baadae yeye akarud chuo na mm nikarud zangu job maana tulikutana kipind Cha rikizo ,Sasa yakabak mahusiano ya mbal mbal ,tukaenda wee tukasogea mipango kibao kuwa akimaliza chuo nimuweke ndani.
Sasa vitimbi vilianza ,kwanza Hawa mabint Wana njaa na pesa Kama viwav jesh ,nilijitoa kwa chochote nilichonacho nacho had nikageuka Sasa Kama baba ake Mara Leo sijala Mara iki na hapo Ana boom lake fresh tu pia kwenye hela ya boom sion Cha maana anachofanyia kwao mwenyew njaa Kali balaa na sabab anakwambia hela nimetuma home Sasa najiuliza hela ya boom unatumaje home wakat ni ya kukusaidia ww Hana Cha kusema,pia ni Dem ambaye wasap yake imejaa sms za kukopa pesa kwa wanaume Mara niaze 50 ntakurudishia daah Kuna madem Wana njaa hii dunia sijapata kuona nikaona hapa hakuna mwanamke hapa ,ukimwambia Sina ananuna .Nikaanza kumpima Sasa akiomba hela hata km ninayo namwambia sina vumilia bac gafla akaanza kutojib sms zang Wala calls zang Mara akaniblock kila sehem Nan nikamkaushia akijua sijui ntahangaika nae.
Siku zikaenda Nam nikamblock kote ili tusikumbukane kwa lolote na hata Akini unlock akute na mm nimemblock ,alivyoona hivyo akafungua account mpya fb nashangaa kaniomba urafik kwa ujeur nilio nao nikamblock tena kwenye account yake mpya mpaka Leo sitak kusikia habar zake .
Nilishajiapiza siwez umiza kichwa kwa mwanamke mmoja wakat kila leo pussy zinazaliwa alaf Ni mbichi mno zenye mvuto alaf et nibabaike na mwanamke mmoja never.
Note:Hakuna mwanaume anaeanzisha mahusiano na mwanamke kwa lengo baya Ila tabia ndio zinamfanyamwanaume abak kwako au asepe na Mara nyingi madem wa kibongo ukiwaonyesha kuwa unawakubal wanageuza huo upendo Kama fimbo Sasa dawa ya Hawa madem wa Karne hii ili mwende sawa ni kuwa kauzu kimtindo yaan asijue ww Ni mtu gani Leo unakuwa romantic kesho uso wa dagaa
Nzuri sana . Ila siku ingine weka aya /paragraph
 
Mkuu umeacha kuwa mchunga kondoo wa Bwana, nikategemea hapa ungeweka vifungu vya bibilia badala yake unamtaka jamaa atafute toto apige mashine
Moja kati ya hekima za Suleiman ni hiyo.

Tupo kwenye mstari bado.
 
Acha kudanganya watu....mimi jinafsi huwa naweka nao ligi na huwa nashinda, kuna mmoja alijifanya anapumnzi aisee hadi mwisho wa siku akawa mdangaji na kuambulia mimba na akapotea kwenye gemu kiufupi akafulia mbaya na kupauka kama pua ya mbwa koko....na kuishia kumouonea huruma......#Mwanamke akitangaza vita jua kamaanisha vita sio uanze kujifanya gentromeni na vimisemo vya kisenge kisenge kama sijui real love sijui ushuzi gani..? Bro funguka wewe ni muafrica ....achana sijui na mambo ya wanawake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom